Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Muhimu haiondoki hata akichepuka😁😁😁 ni ngumu kumeza babu , ila itabidi iwe hivyo kwa dunia ya sasa ya kuchakarikia fursa mkiwekeana vichwa tu mtakula mawe.
Kuna Kijana mmoja wa hovyo aliwahi kuimba eti haina makombo 🙌
Kwa maisha ya sasa, suala la utafutaji liwe kipaumbele chenu wote
Mkiendekeza kuwaza kuibiwa mnaweza mkashindwa kufanya maisha wakati umri wa kutafuta ni sasa. Mwanamke akiamua kucheat anaweza kuchiti hata akienda supermarket
Muhimu uaminifu Kwa Kila mmoja wenu mkijua kwamba tunayo maradhi ya kila aina ambayo ukipata itakuwa gharama kujitibu