"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Ndio maana nikamwambia zamani niliamini hivyo lakini nimejiridhisha si kweli.

Mwanangu mmoja anaishi USA akituwa Bongo kama ni mwezi mmoja kila siku anabadili pisi na sometime siku moja pisi mbili tofauti na ndio kwanza anazidi kufanikiwa, hakuna cha maroho wala mapepo wala nuksi.

Wabongo tunarogana sana halafu tunasingizia vitu vingine.
😝😝😝😝😝😝😝😝 matajiri wengi wana wanawake wengi mnooo na bado wanaendelea tu mbele
 
Muhimu haiondoki hata akichepuka

Kuna Kijana mmoja wa hovyo aliwahi kuimba eti haina makombo 🙌

Kwa maisha ya sasa, suala la utafutaji liwe kipaumbele chenu wote

Mkiendekeza kuwaza kuibiwa mnaweza mkashindwa kufanya maisha wakati umri wa kutafuta ni sasa. Mwanamke akiamua kucheat anaweza kuchiti hata akienda supermarket

Muhimu uaminifu Kwa Kila mmoja wenu mkijua kwamba tunayo maradhi ya kila aina ambayo ukipata itakuwa gharama kujitibu
Kabisa babu cha msingi ipo na haiondoki , ni yangu tu ,akija mwingine ni mpangaji tu , mtu angekua anaibeba , panapaki hakuna kitu ndio nitawaza😁
 
Nimewahi kuwa na long distance relationship iliyodumu miaka 1,2 hadi 3

Nilichogundua pamoja na kuwasiliana Kwa simu wakati mwingine kutumiana nudes lakini haisaidii kitu.

Yaani utaishia kumtia nyege binti wa watu huko alipo kisha kujikuta akimtunuku jamaa mwingine ili kushusha nyege ulizompandisha Kwa video calls ama sex chat

Ndiyo maana sisi Wazee tulikuja na msemo wa "Fimbo ya mbali haiui Nyoka"
Hii ndio pointi kubwaaaaa umemaliza
Ukweli mchunguu
 
Kabisa babu cha msingi ipo na haiondoki , ni yangu tu ,akija mwingine ni mpangaji tu , mtu angekua anaibeba , panapaki hakuna kitu ndio nitawaza😁
Ni kweli Mkuu.....

Japo hakuna kitu kinauma kama kusikia Kuna jamaa alimwagia ndani Kwa baby wako halafu wewe ukaenda kupiga deki kesho yake 🙆

Utapiga mswaki Kila Siku Kila ukikumbuka 😜
 
Back
Top Bottom