Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Real kabisa alafu ishu ya sex ni fikra mm naona Zaidi ukiweka mawazo sana hapo hata sikumoja kulala pekeyako utaona mwaka ni kupotezea tu japo kuna muda mwili ndio huamua Zaid hiki kipind ndo kigumu akili Huwa haitaki Tena 😀😀Hivi unajua kuna muda ukifika unajipenda sana wewe na unakuwa huna hofu
Ni mwendo wa kucheka Cheka ovyo tu🤣🤣🤣