"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Habari wakuu,
Mpaka sasa nipo mbali na shemeji yenu ni mwaka sasa hatujaonana sababu ya issue za utafutaji japo mawasiliano yapo strong kiasi chake.

Ila mahusiano ya mbali ni Mungu tuu awe kati kutoboa ni kazi.
Ni lazima nyinyi wawili mkubali katika kutokubaliana kwenye baadhi ya mambo. Msifuatiliane jinsi mnavyoishi kwenye mikoa yenu ya kikazi mtadumu.
 
Almost 14 months.

It was unexpected. We met once. We had constant communication, show affection, loving, caring and supporting each other during good and bad times. Just recently, he told me La roche nimechoka your bad attitude and blah blah nyingi. but i know myself i’m a good girl 😂

It’s painful and difficult to accept it from someone you talked to everyday and now he’s gone…
Mapenzi yakiwa na viingereza kutoboa hua ni ngumu.
 
Mahusiano ya mbali ni ujinga tu, mnaaminishana vitu havipo, mnapeana hopes hazipo....hadi muonane mnatumia gharama kubwa, just kwa weekend moja ila gharama zake aaagr.

Binafsi naona hayana(ga) afya. Kwanza kuwekana tu mbinde 🤣🤣
 
Ilidumu mpaka pale aliponiambia nimtumie suti kwa ajili ya kaka yake kuolea na mimi nikatuma kuja kugundua ilikuwa ni suti ya bwana harusi anaemuoa yeye, kuvaa siku ya ndoa yao.
Daah. Huyu ilifaa siku ya harusi yake unakuwepo unampa na zawadi nyingine kisha unasepa bila fujo wala maneno yoyote. Unamwacha kwenye kidonda cha moyo cha maisha.
 
Mahusiano ya mbali ni ujinga tu, mnaaminishana vitu havipo, mnapeana hopes hazipo....hadi muonane mnatumia gharama kubwa, just kwa weekend moja ila gharama zake aaagr.

Binafsi naona hayana(ga) afya. Kwanza kuwekana tu mbinde 🤣🤣
Acha tuu mkuu, ila yeye yupo tayari kuja nilipo hata kesho ila sasa nikiwaza gharama naishiwa nguvu.
 
Mahusiano ya mbali ni ujinga tu, mnaaminishana vitu havipo, mnapeana hopes hazipo....hadi muonane mnatumia gharama kubwa, just kwa weekend moja ila gharama zake aaagr.

Binafsi naona hayana(ga) afya. Kwanza kuwekana tu mbinde 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom