ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Anakaaje mbali, tunayaitaje mahusiano ya mbali...huwa hayana afya wala, na akitaka kupunguza maji ya rejeta aende gereji ipi wakati kila mwezi lazima walau x2 rejeta isafishwe..watu waache masiharaš¤£š¤£š¤£Ni vingi D...
Kikubwa hasa siwezi kukaa naye mbali...Kuna vitu huwa najaribu kufikiria asingekuwa karibu ningeviweza vipi naona ingekuwa ngumu....
Nampenda mno...Uuuuuwiiiiš
Kwa mara ya kwanza nasoma...nampenda mno..uwiii..š¤£š¤£