"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

tulikua tunaonana hata mara 1 kwa mwaka yes nilikaaa nilikua nachungwa communication muda wote video calls na hakuna waxing😂😂😂
Mkuu ulikua unakaa na msitu wa amazon😁
 
Back
Top Bottom