Gabriel720
Member
- Jul 29, 2014
- 23
- 13
Hapana Tunaonana From Time To Time Ila At First Hatukuonana Miaka Miwili Ya Mwanzo Wa MahusianoMkuu miaka yote minne hamjaonana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Tunaonana From Time To Time Ila At First Hatukuonana Miaka Miwili Ya Mwanzo Wa MahusianoMkuu miaka yote minne hamjaonana?
Na hukupiga kwingine ulivumilia??Hapana Tunaonana From Time To Time Ila At First Hatukuonana Miaka Miwili Ya Mwanzo Wa Mahusiano
Swali chonganishi hili.Na hukupiga kwingine ulivumilia??
Duh aisee 🤔Ilidumu mpaka pale aliponiambia nimtumie suti kwa ajili ya kaka yake kuolea na mimi nikatuma kuja kugundua ilikuwa ni suti ya bwana harusi anaemuoa yeye, kuvaa siku ya ndoa yao.
Sio kwa kupenda ila sometimes inabidi mkuu.Hivi wanandoa/ wachumba mnawezaje kumaliza mwaka bila kuonana surely 🤔??
You guys can't be serious!
😂😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️Sijatoshea! Urudi na kesho mamy
Sema upunguze usela nondo, hao masela nondo wenyew kwenye mapenz hawaufanyi. Mapenzi na usela wapi na wapi?
Kupiga Nn Mkuu 😂😂😂Na hukupiga kwingine ulivumilia??
Miaka ya zamani ni kawaida Kwa mdada kuolewa body count 0 Mileage 0 akafa body count 1 mileage 2000000KM watoto 11 saivi sasa body count 54 mileage 546,876,230,000,000 abortion 14 watoto 2 status single na kuachika mara 9Acha kumpoteza mwenzio!
Haahha umenielewa banaKupiga Nn Mkuu 😂😂😂
Alilia kurudi homeSasa ulilia nini, mkuu? Mbona kama ulikua unafaidi?
Na wewe wa mkoani unakata mwaka bila bila, nakujengea sanamu lako.Bora sisi wa mikoani🤣🤣
🧚🧚
Kama anaichapa mbunye ya mtu wako bc huyo hawezi kuwa boya mana anakula unapokula wwTatizo ukiwaza vile viuno unavyopewa kua kuna boya mwingine anapewa lazima kichwa kiume.
Tupe maua yetu mkuu, ikiwezekana tafuta kijana shababi la kipare ule mema ya dunia🤣🤣🤣Mko vizuri 😉
Alilia kurudi home
Mkuu yani miaka minne mnakua mnafanya nini bila kuonana? Mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu, mpaka wa nne?4 yrs bila kuonana! Ilinisaidia kuvumilia kuishi na genye, kikubwa mawasiliano imara yakiyumba na penzi linakufa hasa kama hamjarasmisha
Aiseeena hakuna waxing😂😂😂