"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Tuna mwaka wa7 sasa na ndani ya miaka 7 hiyo tumeonana live kwa mara 4 tu. Mara 1 ni siku ya kwanza kuwez kuonana na kufahamian na awamu 3 hizi ni ambzo tayari tushakuwa kwenye uhusiano,. KiUkweli si kazi lahisi kuwa na uhusiano wa namna hiyo
 
Back
Top Bottom