"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Tuoneeni Wazee huruma Mjukuu, Mimi na Mzee mwenzangu ERoni hatuna hizo tabia mbayašŸ¤—
Juzi tu umetoka kuniambia nina pigo za kilokole, leo unanikana kweli🤣🤣🤣
Mmeshindwa kumfundisha kijana wenu Yohimbe bark ndo kwanza mpo kumkandia ila si mnaujua mziki wetu na sisi tukiamuašŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
Back
Top Bottom