"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Uko sawa kabisa mkuu kwa jinsi ulivyoandika. Nahisi wewe utakuwa mhenga mwenzangu na una familia. Nawakumbusha vijana wanaoingia kwenye ndoa wajitahidi wawezavyo kukwepa distance marriage. Yule Mama ni mtu wa imani lakini mahitaji ya mwili kumbe yalikuwa muhimu kwake. Tangu pale nikagundua kumbe baadhi ya wanawake wanapofika Kuanzia 36 hadi 46 mwili unachemka sana na wanahitaji huduma ya sex sana ili akili itulie na shughuli zingine ziende vizuri....
Hakika mimi ni mhenga mwenzako mkuu . Na nakubaliana na wewe kabisaaaa. Mungu aendelee kuitetea na kuilinda ndoa yenu
 
Back
Top Bottom