Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nirudishie mimba yangu kama bado hujajifungua....Mwaka jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nirudishie mimba yangu kama bado hujajifungua....Mwaka jana
Tena afadhali uhuni wa zamani ulikuwa mgumu. Hivi sasa gesti ziko mpaka pembeni ya misikiti na makanisa.... Watu wanasali na kutubu pembeni yao vijana wahuni wanadinyana huku wakisikia wengine wakiimba kwaya ....Kwa hali hii vijana wanaendeleza uhuni wa zamani
For sure....kiuhalisia mimi na mtu wangu tungekuwa tunaishi pamoja tungekua tushaachana...turijaribu kuish pamoja miez ka saba hivi oyaaa vurugu mwanzo mwisho tulikuja kuelewana mwishoon miez mi4 ya mwisho..sometimes long distance relationship inakuwa strong kuliko maelezo
Njoo uichukue🤣Nirudishie mimba yangu kama bado hujajifungua....
Umesema kweli ni vile tu sikujua mbanga zake japo nilikuwa namshtukiaHakustahili kunyanzishwa huyo kurjuani
No nipewe nafasi nyingine akili inataka ila mwili unanisalitiHaupo tayari kubadilika! Endelea kufanya kinachokupa furaha☺️
Nimecheka sana😂 kweli tunatofautianaYaani hata Mbagala vs Tegeta, hayo bado ni ya mbali tu. Kuna kipindi kiliumana na kabinti ka Chanika, ila umbali ukalifanya penzi life kabla halijaanza.
Lazima ujue motives behind, halafu utatue kuanzia hapoNo nipewe nafasi nyingine akili inataka ila mwili unanisaliti
Mimi nilikaaa long distance na mama bhoke for 57 yearsHabari wakuu,
Mpaka sasa nipo mbali na shemeji yenu ni mwaka sasa hatujaonana sababu ya issue za utafutaji japo mawasiliano yapo strong kiasi chake.
Ila mahusiano ya mbali ni Mungu tu awe kati kutoboa ni kazi.
Chai 🍵Mimi nilikaaa long distance na mama bhoke for 57 years
Acha hizo mkuu😁Mimi nilikaaa long distance na mama bhoke for 57 years
Hii TOGWA imechacha mkuu yaan miaka 57 kwelii?Acha hizo mkuu😁
Watu wamevurugwa mzee😁Hii TOGWA imechacha mkuu yaan miaka 57 kwelii?
Sawa asante kwa ujumbe mzuri ngoja nianze kutafuta chanzo cha tatizo kama ulivyoshauriLazima ujue motives behind, halafu utatue kuanzia hapo
Uhandsome ule jumlisha na tabia njema Mbinguni tunaenda mbona😂
Dar to Kagera? Utakuwa unatania...otherwise mtakuwa mnataniana, manake kusalitiana hapo ni guaranteed.Nimecheka sana😂 kweli tunatofautiana
Mimi napenda mahusiano hayo ya mbali Chanika to Kibaha, Dar to Kagera😆