"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Kwa hali hii vijana wanaendeleza uhuni wa zamani
Tena afadhali uhuni wa zamani ulikuwa mgumu. Hivi sasa gesti ziko mpaka pembeni ya misikiti na makanisa.... Watu wanasali na kutubu pembeni yao vijana wahuni wanadinyana huku wakisikia wengine wakiimba kwaya ....

Enzi hizo kitafutana ilikuwa ngumu, siku hizi ukipewa namba za simu tu kazi imeisha....

Afu ndio eti uko zako Mpatambi huko afu bebi wako yuko Tabata Baracuda... unajishaua kabisa nina bebi wangu Dar huko...
 
Mi yangu yana miaka saba-8 tangu 2016 na ni long distance but she is mama of handsome and beautiful one!
Weka tuweke,akifanya tu su! Ntabaki kwenda kuona watoto ila mikwara ya hapa na pale inasaidia,kujifanya unajua njia zake zote kubwa kuliko mwonyeshe muda wowote akileta upumbavu uwezo wa kumuacha unao..OVA
 
sometimes long distance relationship inakuwa strong kuliko maelezo
For sure....kiuhalisia mimi na mtu wangu tungekuwa tunaishi pamoja tungekua tushaachana...turijaribu kuish pamoja miez ka saba hivi oyaaa vurugu mwanzo mwisho tulikuja kuelewana mwishoon miez mi4 ya mwisho..
But long distance ni risk ila sometime ni strong than lover living together,hahahah kwanza mkikutana after so long time hiyo mechii inakuaga heavy yaan heavy...
 
Yaani hata Mbagala vs Tegeta, hayo bado ni ya mbali tu. Kuna kipindi kiliumana na kabinti ka Chanika, ila umbali ukalifanya penzi life kabla halijaanza.
 
Yaani hata Mbagala vs Tegeta, hayo bado ni ya mbali tu. Kuna kipindi kiliumana na kabinti ka Chanika, ila umbali ukalifanya penzi life kabla halijaanza.
Nimecheka sana😂 kweli tunatofautiana
Mimi napenda mahusiano hayo ya mbali Chanika to Kibaha, Dar to Kagera😆
 
Nimecheka sana😂 kweli tunatofautiana
Mimi napenda mahusiano hayo ya mbali Chanika to Kibaha, Dar to Kagera😆
Dar to Kagera? Utakuwa unatania...otherwise mtakuwa mnataniana, manake kusalitiana hapo ni guaranteed.
 
Back
Top Bottom