Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nyerere amezalisha Division zero 60%.Wacha kelele leta kitu gani nyerere kakifanya zaidi ya kudhulumu wahindi na warabu majumba yao.
Kitu gani nyerere alikifanya zaidi ya ujambazi, kila kukicha majambazi ambao ni mapolice na wanajeshi.
Nyerere alifikia mpaa anaingilia majumba ya matajiri na kuiba michele, sukari, unga wa mahindi/mtama/ngano na mengi tu, mpaa na pesa alikuwa anazichukua afu unasema kiongozi??
Mimi nataka wewe unieleze nyerere kajenga kitu gani tanzania, zaidi ya kubomoa.
hahaha dogo ni EAMWS sio EAMS :biggrin1:Naona kumbe hata EAMS huifahamu,,, kumbe napoteza muda wangu kubishana na mtu asiyeelewa kitu. Jioni njema mkuu
Ngoja Raila Odinga aingie madarakani mtanyooka wote pumbavu zenu.leo umekunywa kiroba cha jogoo au mbege? manake unaropokwa tu huna lolote lipya wewe
Mhhhm kama ndoto vile:laugh:Nyerere amezalisha Division zero 60%.
Mnajuwa sana kusifu watu ujinga, ni kwa sababu ya upuuzi wa kumpa Dictator Mwai Kibaki barabara Tanzania?
Wawaachie watanzania wamfanyie ranking
Ni kweli CCM juu Division zero 60% juu zaidi.
your are one of the greatest president in africa.
hivi kwa nini hawaweki kwenye google the most 20 STUPID PRESIDENTS IN THE WORLD, Najua mtu fudenge fudenge hangekosekana! kwi kwi kwi!
your are one of the greatest president in africa.
Ila Ridhiwani ndio
Ghafla anapenda makubwa .Sio mchezo kuwa Raisi Kwenye Nchi ya watu wanaolalamika asubuhi na jioni jamani.Kikwete watu wanakula kuku tu.Umeme,maji ya kumwaga ila watu Bado mnalalamika ka.
40% ya waliopasi leo Tanzani ni zaidi ya idadi ya wanafunzi wote walioingia sekondari wakati wa Nyerere.
Na Koffi Annan na Graca Machel walikuwa wanafanya kazi gani? kushuhudia makubaliano ndio kupatatanisha? huu Uislamu unakupeleka pabaya.
Ngoja Raila Odinga aingie madarakani mtanyooka wote pumbavu zenu.
Asante kwa kutujuza kwamba wewe ni Mnyarwanda na ndio maana unapinga maendeleo ya Watanzania na Muhasisi wa Taifa lao. Good boy.
Hiyo asilimia ikokotoe against idadi ya shule za wakati ule, idadi ya walimu, na population ya wakati huo...
55 years a go kikwete alikuwa Kama hao watoto.He did well in school he took risk and he worked hard.He is a president of Tanzania now.Hao wazazi Wao wavivu na wanasubiri government .Government is not a solutionAAAH SANA,, ONA KAZI YAKE
View attachment 84006
View attachment 84007
Kwa kweli hakuna kama JAH KAYA
55 years a go kikwete alikuwa Kama hao watoto.He did well in school he took risk and he worked hard.He is a president of Tanzania now.Hao wazazi Wao wavivu na wanasubiri government .Government is not a solution