Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nyerere amezalisha Division zero 60%.Wacha kelele leta kitu gani nyerere kakifanya zaidi ya kudhulumu wahindi na warabu majumba yao.
Kitu gani nyerere alikifanya zaidi ya ujambazi, kila kukicha majambazi ambao ni mapolice na wanajeshi.
Nyerere alifikia mpaa anaingilia majumba ya matajiri na kuiba michele, sukari, unga wa mahindi/mtama/ngano na mengi tu, mpaa na pesa alikuwa anazichukua afu unasema kiongozi??
Mimi nataka wewe unieleze nyerere kajenga kitu gani tanzania, zaidi ya kubomoa.