long live president jakaya kikwete

long live president jakaya kikwete

Status
Not open for further replies.
Wacha kelele leta kitu gani nyerere kakifanya zaidi ya kudhulumu wahindi na warabu majumba yao.

Kitu gani nyerere alikifanya zaidi ya ujambazi, kila kukicha majambazi ambao ni mapolice na wanajeshi.

Nyerere alifikia mpaa anaingilia majumba ya matajiri na kuiba michele, sukari, unga wa mahindi/mtama/ngano na mengi tu, mpaa na pesa alikuwa anazichukua afu unasema kiongozi??

Mimi nataka wewe unieleze nyerere kajenga kitu gani tanzania, zaidi ya kubomoa.
Nyerere amezalisha Division zero 60%.
 
he is a good man!
anaweza kulipa fadhila hata kwa wale waliowafadhili rafiki zake achilia mbali wanafamilia, mfano:
  • angalia, watu wote waliosaidia kwa njia moja au nyingine kuingia kwake madarakani wamekuwa rewarded na nafasi za serikalini, hata aliyekosa kabisa kapata angalau ukuu wa wilaya.
  • anakubalika kwa wafadhili kiasi kwamba hata waki inflate gharama za ujenzi wa bomba la gesi mara mbili wanatoa tu pesa.
  • kwa ukarimu wake, hata wale wenye uwezo na shibe kama Mzee Kibaki ambao hawaitaji cheo wala pesa anawazawadia majina ya barabara muhimu katika miji.
we acha tu!
 
Mnajuwa sana kusifu watu ujinga, ni kwa sababu ya upuuzi wa kumpa Dictator Mwai Kibaki barabara Tanzania?

Wewe, Kenya walikuwa wanauwana, Kikwete ndio akaenda kumaliza mgogoro.
 
hivi kwa nini hawaweki kwenye google the most 20 STUPID PRESIDENTS IN THE WORLD, Najua mtu fudenge fudenge hangekosekana! kwi kwi kwi!
 
your are one of the greatest president in africa.

Ila Ridhiwani ndio
Ghafla anapenda makubwa .Sio mchezo kuwa Raisi Kwenye Nchi ya watu wanaolalamika asubuhi na jioni jamani.Kikwete watu wanakula kuku tu.Umeme,maji ya kumwaga ila watu Bado mnalalamika ka.
 
Ila Ridhiwani ndio
Ghafla anapenda makubwa .Sio mchezo kuwa Raisi Kwenye Nchi ya watu wanaolalamika asubuhi na jioni jamani.Kikwete watu wanakula kuku tu.Umeme,maji ya kumwaga ila watu Bado mnalalamika ka.

Unaishi wapi..!? Umeshaondoka Marekani...!??
 
40% ya waliopasi leo Tanzani ni zaidi ya idadi ya wanafunzi wote walioingia sekondari wakati wa Nyerere.

Hiyo asilimia ikokotoe against idadi ya shule za wakati ule, idadi ya walimu, na population ya wakati huo...
 
Na Koffi Annan na Graca Machel walikuwa wanafanya kazi gani? kushuhudia makubaliano ndio kupatatanisha? huu Uislamu unakupeleka pabaya.

east_africa1.jpg
 
Ngoja Raila Odinga aingie madarakani mtanyooka wote pumbavu zenu.

nyambafu unafikiria tu kama muhuni lakini manake nina hekima wacha nikuelimishe. Raila ni kama Dr.slaa wote walizaliwa kuishi upinzani milele
 
Hiyo asilimia ikokotoe against idadi ya shule za wakati ule, idadi ya walimu, na population ya wakati huo...

Kikwete kwa miaka 8 kajenga zaidi ya shule 5,000 vyuo vikuu 11. Nyerere kwa miaka 24 alijenga ngapi?
 
55 years a go kikwete alikuwa Kama hao watoto.He did well in school he took risk and he worked hard.He is a president of Tanzania now.Hao wazazi Wao wavivu na wanasubiri government .Government is not a solution

Seriously???wazazi wao wavivu?? Kama ulienda shule basi haikukusaidia...
Hujui unenalo.God bless you
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom