Kikwete kwa miaka 8 kajenga zaidi ya shule 5,000 vyuo vikuu 11. Nyerere kwa miaka 24 alijenga ngapi?
Umeinuka bila kuchamba sasa mainzi yanakufuata unaanza kulia lia kwa Invisible na Morerator!! unadhani hata huyo Invisible anafurahi kila kukicha nyinyi kumshambulia mtu ambaye yupo mbele za haki na hawezi kuja kujitetea hapa? kwahiyo hapa unamfundisha Invisible kwamba ni wewe tu ndio unastahili Nature Justice?
Huo ukabila wako bakini nao huko huko kwenu, siasa za Tanzania hazikuhusu, kama unaipenda CCM ili mje kupewa ardhi bure sahauni kabisa, taifisheni huko huko ardhi kwenu kutoka kwa mabwanyenye wachache.nyambafu unafikiria tu kama muhuni lakini manake nina hekima wacha nikuelimishe. Raila ni kama Dr.slaa wote walizaliwa kuishi upinzani milele
Tanzania hakuna Rais mtukufu tuna Mheshimiwa Rais tu, nenda kwenye kamusi kasome maana ya mtukufu ndio uje kuongea ushuzi wako hapa.huu mjadala ulikuwa wa kumsifu Rais mtukufu Jakaya kikwete amri jesh mkuu wa jamhuri ya muungano ya Tanzania. Naomba kama kunaye mtu amabaye ana nia nyingine tofauti na hii akome mara moja. Pia udini uambatani na lengo kuu la mjadala huu
rais kikwete ni profesa wa siasa yeye aashaangalia miaka ishirini mbele ya chadema. Chadema urais ni ndoto ya ajabu kwao. Heshima zote kwa bwana rais anaunganisha watu wa afrika mashariki