Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,273
Kikwete kwa miaka 8 kajenga zaidi ya shule 5,000 vyuo vikuu 11. Nyerere kwa miaka 24 alijenga ngapi?
Yep, na kwa miaka minane hiyo hiyo failure rate imekuwa ikiongezeka kila mwaka, na sasa iko kwenye 60%+.
Shule 5000 ambazo zinawastani wa waalimu wangapi kila moja ukilinganisha na idadi ya watoto wanaosoma? Elimu kwako wewe ni majengo??