long live president jakaya kikwete

long live president jakaya kikwete

Status
Not open for further replies.
Kikwete kwa miaka 8 kajenga zaidi ya shule 5,000 vyuo vikuu 11. Nyerere kwa miaka 24 alijenga ngapi?

Yep, na kwa miaka minane hiyo hiyo failure rate imekuwa ikiongezeka kila mwaka, na sasa iko kwenye 60%+.
Shule 5000 ambazo zinawastani wa waalimu wangapi kila moja ukilinganisha na idadi ya watoto wanaosoma? Elimu kwako wewe ni majengo??
 
Hayo ni matusi. Nashangaa Moderator, Invisible, bado hawajachukuwa hatua yoyote dhidi yako.
Umeinuka bila kuchamba sasa mainzi yanakufuata unaanza kulia lia kwa Invisible na Morerator!! unadhani hata huyo Invisible anafurahi kila kukicha nyinyi kumshambulia mtu ambaye yupo mbele za haki na hawezi kuja kujitetea hapa? kwahiyo hapa unamfundisha Invisible kwamba ni wewe tu ndio unastahili Nature Justice?

Ukiuliza Mishipa Bagamoyo kila mtu atakushangaa ni sawa kuuliza uchawi Gamboshi.

Kama ulidhani ban zinatolewa kiholela pole sana tafuta strategy nyingine, u can not run away from yourself.
 
huu mjadala ulikuwa wa kumsifu Rais mtukufu Jakaya kikwete amri jesh mkuu wa jamhuri ya muungano ya Tanzania. Naomba kama kunaye mtu amabaye ana nia nyingine tofauti na hii akome mara moja. Pia udini uambatani na lengo kuu la mjadala huu
 
nyambafu unafikiria tu kama muhuni lakini manake nina hekima wacha nikuelimishe. Raila ni kama Dr.slaa wote walizaliwa kuishi upinzani milele
Huo ukabila wako bakini nao huko huko kwenu, siasa za Tanzania hazikuhusu, kama unaipenda CCM ili mje kupewa ardhi bure sahauni kabisa, taifisheni huko huko ardhi kwenu kutoka kwa mabwanyenye wachache.

Waanapokaa wanaume wanajadili mustakabali wa Taifa lao chukuwa kopo kachambe, humu mmepewa Kenya forum unashindwa kuitumia unatuletea shombo huku?
 
huu mjadala ulikuwa wa kumsifu Rais mtukufu Jakaya kikwete amri jesh mkuu wa jamhuri ya muungano ya Tanzania. Naomba kama kunaye mtu amabaye ana nia nyingine tofauti na hii akome mara moja. Pia udini uambatani na lengo kuu la mjadala huu
Tanzania hakuna Rais mtukufu tuna Mheshimiwa Rais tu, nenda kwenye kamusi kasome maana ya mtukufu ndio uje kuongea ushuzi wako hapa.
 
rais kikwete ni profesa wa siasa yeye aashaangalia miaka ishirini mbele ya chadema. Chadema urais ni ndoto ya ajabu kwao. Heshima zote kwa bwana rais anaunganisha watu wa afrika mashariki

Hata Anwar Sadat alikuwa maarufu nje ya Misri, hasa Marekani. Lakini sote leo tunajua yaliyompata nyumbani kwake.
All politics is local.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom