Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Huyo mlinzi inawezekana hata hamjui Mzee Paul Kimiti ni nani.Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuza kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba mdomoni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa. View attachment 3691361
Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?
MC
Wanaume wazima wamevaa nguo zenye sura ya mjane! badala wavae basi hata sura za wake zao basiAisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuza kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba mdomoni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa. View attachment 3691361
Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?
MC
Kuna watu wanafanya kazi kama maroboti.Huyo mlinzi inawezekana hata hamjui Mzee Paul Kimiti ni nani.
Kila mahali matobo!Nchi Imeoza
Na wewe ndo uelewa wako huoAisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuza kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba mdomoni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa. View attachment 3691361
Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?
Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!
MC
Hahahaa! Idara ya ubunifu wamefeliWanaume wazima wamevaa nguo zenye sura ya mjane! badala wavae basi hata sura za wake zao basi
uelewa upi? Fafanua.Na wewe ndo uelewa wako huo
hakunaga kujuana kwenye masuala ya usalama wa viongozi wa kitaifa, regardless wewe ni nani au uliwahi kua nani nchi hii before.Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuza kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba mdomoni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa. View attachment 3691361
Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?
Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!
MC
Muovu hukimbia hata asipokimbizwaNchi Imeoza
Baki na mawazo hayo, wakati wengine wakiendelea kujipatia maendeleoNchi Imeoza
Kama wewe ndo huyo mlinzi basi badilika umefeli. Yaani kwamba Mzee Kimiti angeweza kujilipua hapo? Hapana bana. Na asingeweza kuwa kwenye hiyo proximity randomly. Ingekuwa ni mwananchi wa kawaida angakuwa mbali. Jiulize hilo.hakunaga kujuana kwenye masuala ya usalama wa viongozi wa kitaifa, regardless wewe ni nani au uliwahi kua nani nchi hii before 🐒
Huuu ni upuuzi sana yaani unakuta wanapelekeshwa tu na usipovaa unatengenezewa chuki sanaHahahaa! Idara ya ubunifu wamefeli
Lakini kama kuna utaratibu wa ulinzi si ufuatwe sawa kwa wote tu?Kuna watu wanafanya kazi kama maroboti.
Yes,Kama wewe ndo huyo mlinzi basi badilika umefeli. Yaani kwamba Mzee Kimiti angeweza kujilipua hapo? Hapana bana. Na asingeweza kuwa kwenye hiyo proximity randomly. Ingekuwa ni mwananchi wa kawaida angakuwa mbali. Jiulize hilo.
Duh,suala la usalama wa wa viongozi wa kitaifa ni nyeti na muhimu zaidi kuliko kitu chochote
Jukumu muhimu zaidi la serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha kwamba umoja, amani na usalama wa waTanzania wote vinalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile 🐒Duh,
Machawa bhana!!
Ila usalama wa wananchi hauna umuhimu siyo??
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani- KikweteAisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuza kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba mdomoni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa. View attachment 3691361
Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?
Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!
MC