Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Ahhh
Vipi kuhusu hizi tuhuma?Jukumu muhimu zaidi la serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha kwamba umoja, amani na usalama wa waTanzania wote vinalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile 🐒
Thats a poor strategy! Kama mwanausalama lazima ungeshakuwa na protocal ya kujua ni watu aina gani wataruhusiwa kwenye proximity area ya viongozi. Hiyo mbinu aliyotumia hapo ni zima moto na inamfanya aonekana hakutumia akili, hajiamini na kazi yake. Hizo risks angetakiwa kuzi-calculate kabla ya kupeleka mkono kwa mzee wa watu mwenye heshima yake na historia ya hii nchi anaijua. Jifunze na badilika!Yes,
iwe ni mimi au vinginevyo,
singeruhusu yoyote kuingilia jukumu langu la kuhakikisha usalama wa kiongozi wa kitaifa niliekabidhiwa kuhakikisha usalama wake.
In fact na huyo mzee anajua na ndio maana hakuforce wala kujiskia embarrassed 🐒
Surely, umeona kitu ambacho kinaweza kuwa cha ukweli kwa 98%Huyo mlinzi inawezekana hata hamjui Mzee Paul Kimiti ni nani.
How?Ni Protocol.....
Madhara ya kuchukua uvccm kuwaweka kuwa walinzi wa viongozi ndio hayaAisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuza kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba mdomoni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa. View attachment 3691361
Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?
Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!
MC
Ni Protocol.....
Ila mzee wa watu mbona alikuwa ametulia zake, maana yake na yeye anaijua protocal, ila jamaa mlinzi itakuwa mgeni na kutokujiamini kaanza na kupeleka mkono wakati mzee ametulia zake.Lakini kama kuna utaratibu wa ulinzi si ufuatwe sawa kwa wote tu?
Mzee Kimiti mwenyewe bado kidogo awe Waziri Mkuu, anaijua protocol.Ila mzee wa watu mbona alikuwa ametulia zake, maana yake na yeye anaijua protocal, ila jamaa mlinzi itakuwa mgeni na kutokujiamini kaanza na kupeleka mkono wakati mzee ametulia zake.
Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuza kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba mdomoni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa. View attachment 3691361
Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?
Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!
MC
Wakati wa jiwe kwenye hafla zake anazokuwepo nilikuwa naona hawaweki visu au umma mezani, ni vijiko tu! Mbona kwa Trump kila kitu hadi visu vya kulia huwa vinawekwa mezani?Huyo mlinzi inawezekana hata hamjui Mzee Paul Kimiti ni nani.
You can call it wherever,Thats a poor strategy! Kama mwanausalama lazima ungeshakuwa na protocal ya kujua ni watu aina gani wataruhusiwa kwenye proximity area ya viongozi. Hiyo mbinu aliyotumia hapo ni zima moto na inamfanya aonekana hakutumia akili, hajiamini na kazi yake. Hizo risks angetakiwa kuzi-calculate kabla ya kupeleka mkono kwa mzee wa watu mwenye heshima yake na historia ya hii nchi anaijua. Jifunze na badilika!
Na amekuwa mbunge miaka mingi, na historia ya hii nchi anaijuaMzee Kimiti mwenyewe bado kidogo awe Waziri Mkuu, anaijua protocol.
Kwani huyo mzee protocal haijui? mbona ametulia zake tu hapo, wewe ndo unaanza kuhangaika kwa papara unagusa tumbo la mzee wa watu, unamzuia! kwani huoni kwamba ametulia zake hapo bila movement? acha ushamba bana. Jifunze badilika! Usitudhalilishie wazee wetu wanaoijua hii nchi kuliko hata wewe.You can call it wherever,
but the identified national leader security personnel was very right, regardless of useless perceptions of public sympathy seekers who no nothing about national leader security protocols 🐒
Yaani we jamaa ni kutetea Kila kitu,hauko tayari kuona ukweli kwa uhalisia wake!You can call it wherever,
but the identified national leader security personnel was very right, regardless of useless perceptions of public sympathy seekers who knows nothing about national leaders security protocols 🐒
Anaijua protocol vizuri sana, na ndio maana alipozuiwa akasimama na kutulia tuli, ili hatimae hao viongozi waliokua wakibadilishana mawazo wamalizane na kisha ikionekana inafaa mzee aruhusiwe kusalimia viongozi hao.Kwani huyo mzee protocal haijui? mbona ametulia zake tu hapo, wewe ndo unaanza kuhangaika kwa papara unagusa tumbo la mzee wa watu, unamzuia! kwani huoni kwamba ametulia zake hapo bila movement? acha ushamba bana. Jifunze badilika! Usitudhalilishie wazee wetu wanaoijua hii nchi kuliko hata wewe.
Bora hata wew umeongea mkuu. Kama angekuwa ni just raia wa kawaida asingeweza kukaa kwa ukaribu hivo. Maana yake alishakuwa cleared kuwa hiyo sehemu na hakukuwa na ulazima wa security kuanza kupeleka tena mamikono kwa mzee. Siamini kama huyo mzee alijipeleka kusimama hapo. Security hajawaza kwa upana hapo, amefanya action ya kukurupuka. TlaatlaahYaani we jamaa ni kutetea Kila kitu,hauko tayari kuona ukweli kwa uhalisia wake!
Huyo Mzee amefikaje mpaka umbali huo?Ilipaswa awe ameshapitia security clearance kabla hajafika hapo!Hapo hakuna weledi wowote!
Gentleman,Yaani we jamaa ni kutetea Kila kitu,hauko tayari kuona ukweli kwa uhalisia wake!
Huyo Mzee amefikaje mpaka umbali huo?Ilipaswa awe ameshapitia security clearance kabla hajafika hapo!Hapo hakuna weledi wowote!
Mzee kawapa connection watu sana kanisani Upanga St. Immaculate Conception.Na amekuwa mbunge miaka mingi, na historia ya hii nchi anaijua