Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

Walinzi na wana usalama wa Bongo ndivyo walivyo. Wao wanajua kusukuma na kuamrisha tu.
Hahahah! halafu angalia vizuri, amemuwekea mtu mkono huku yeye anatazama upande mwingine, sasa kama huyo mtu kweli ni mbaya yeye anajua vipi kwamba kamdhibiti? au hatari ipo kwenye tumbo hahahah! aione Tlaatlaah manlu
 
Maoni yangu ndio hayo!Au ulitaka nisiseme Kila ninachokiona dhidi ya hoja zako?
Nikirudi kwenye jibu lako,sio suala la security tena bali kuingilia maongezi!Maana huko juu,ukatembea na code ya usalama!Ni vizuri kama umetambua kutokana na Michango ya wadau kwamba ingekuwa ni uzembe kama mtu anafika umbali huo Halafu hakustahili kuwa hapo!
Mimi naamini Kuna njia Bora zaidi ingeweza kutumika na sio hiyo!Angeweza kutumia hata kauli kuwa asubiri na isionekane kwa hadhira kuwa anamzuia kwa mkono!
Hata kimaadili haijakaa sawa,mtu mzima kama huyo unamzuia kwa kumuwekea mkono eneo kama hilo!Mzee kaingiliwa personal space yake!
Bado naamini kulikuwa na namna Bora zaidi Kuliko hivyo!
Yes,
ni muhimu sana kukubaliana kutofautiana gentleman, na hiyo huleta afya katika majadiliano. Mihemko, makasiriko au matusi huwa kabisa ni vitu useless kwenye mijadala muhimu jukwaani.

hata hivyo,
kuhusu hoja mahususi mezani,
ni kwamba,
siku zote majukumu ya kiulinzi hasa yaliyo chini ya kiapo hayahitaji majadiliano katika kuyatekeleza, mathalani eti hapo unaposema eti huyo mlinzi angeweza kumueleza mzee atulie kidogo :pedroP:
hakuna kitu kama hicho kwenye masuala ya ulinzi, hua ni full command.

ni vizuri ikafahamika kwamba,
public sympathy daima hubaki nje ya jukumu la security personnel wa kiongozi yeyote yule wa kitaifa. But duniani kote, hakuna raia, regardless alikua nani before, atakaeruhusiwa kubreak security protocol dhidi ya viongozi wa kitaifa 🐒
 
Hahahah! halafu angalia vizuri, amemuwekea mtu mkopo huku yeye anatazama upande mwingine, sasa kama huyo mtu kweli ni mbaya yeye anajua vipi kwamba kamdhibiti? au hatari ipo kwenye tumbo hahahah! aione Tlaatlaah manlu
Gentleman,
hapo hapakua na mtu mbaya wala kitisho chochote cha kiusalama kwa viongozi hao wa kitaifa, ni suala la protocol tu ndio nadhani linawachanganya wadau wengi wa Jf wenye uelewa na ufahamu usio wa kutosha juu ya masuala yanayohusu ulinzi na usalama wa viongozi wa kitaifa.

masuala yote ya ulinzi hutekelezwa kwa amri, na sio habari za we Mzee hebu rudi nyuma kidogo :pedroP:
 
Yes,
ni muhimu sana kukubaliana kutofautiana gentleman, na hiyo huleta afya katika majadiliano. Mihemko, makasiriko au matusi huwa kabisa ni vitu useless kwenye mijadala muhimu jukwaani.

hata hivyo,
kuhusu hoja mahususi mezani,
ni kwamba,
siku zote majukumu ya kiulinzi hasa yaliyo chini ya kiapo hayahitaji majadiliano katika kuyatekeleza, mathalani eti hapo unaposema eti huyo mlinzi angeweza kumueleza mzee atulie kidogo :pedroP:
hakuna kitu kama hicho kwenye masuala ya ulinzi, hua ni full command.

ni vizuri ikafahamika kwamba,
public sympathy daima hubaki nje ya jukumu la security personnel wa kiongozi yeyote yule wa kitaifa. But duniani kote, hakuna raia, regardless alikua nani before, atakaeruhusiwa kubreak security protocol dhidi ya viongozi wa kitaifa 🐒
Hizi u turn hazina maana zaidi ya kutaka kurefusha mjadala!Mimi naamini umeelewa ila ni ile pride tu ndio inakufanya uendelee kutwist maneno na kuzunguka mbuyu!
Command zipo nyingi ikiwamo verbal command!Sio Kila jambo linahitaji nguvu!
Tukio hilo ni la aibu!
Huko juu umekubali Mzee huyo mpaka anafika hapo,hakuwa tishio kiusalama!Ndio ukaja na hoja ya maongezi binafsi ya PM na VP!
Kwahiyo hoja hapa ni privacy na sio security!
 
Huyu comrade Tlaatlaah ni Prof. wa kubadilisha goli la hoja! Kuwa naye makini. Huko juu alikuwa anatembea na hoja ya protocal; kaona kashindwa hoja, anahamia kwenye hoja kwamba kulikuwa na mazungumzo ya siri! Hii ni maajabu!
Skiza gentleman,
usipotoshe wadau wa Jf plz.

Pale ingelikua yupo waziri mkuu au makamu wa Rais pekeyake, Raia yeyote yule angeruhisiwa kumsalimia, hata kama huyo Mzee mnaemuonea huruma, angekua na mazunguzo marefu labda na moja kati ya viongozi hao.

But kwakua,
waziri mkuu na makamu wa Rais wanafanya mazunguzo, haingekua rahisi raia wa kawaida tu kuruhusiwa na walinzi kujoin mazunguzo hayo au kuinterfere mazunguzo hayo kwa namna yoyote ile iwe kwa salamu au vinginevyo.
Ni vizuri kuelewa mambo haya kwa kina my friends, ladies and gentlemen.

Masuala ya sijui umri, sijui eti Mzee alikua nani wapi wakati ule ni vitu useless kwenye usalama wa viongozi wa kitaifa.
Nadhani mliwahi kushuhudia hata pale uwanja wa jamuhuri Dodoma, aliewahi kua mkuu wa mkoa wa Dodoma, Paul Christian Makonda, alizuiwa kabisa kuingia kwenye geti la kuelekea jukwaa la viongozi wa kitaifa pale jamuhuri kwakua yeye alikua ni raia wa kawaida tu na sii kiongozi wa kitaifa.

Raia wa kawaida unakwenda kufanya nini kwenye mazunguzo au jukwaa la viongozi wa kitaifa?
haiwezekani 🐒
 
Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa muda mrefu View attachment 3691361

Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?

Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!

MC
Sio lazima uanzishe thread kwa kila jambo unaloliona. Mtu mwenye busara angeiweka thread yake kwa mfumo wa kutaka kufahamu kwanini mzee Kimiti amepigwa pin?
Kama hao hao walinzi walimpiga Pin Kasim Majaliwa asiende kuchukua form ya kugombea, unategemea watampa uzito a mere retired minister ?
 
Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa muda mrefu View attachment 3691361

Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?

Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!

MC
Nyie acheni hizo,kwani huyo mlinzi anamjua Kimiti ?
 
Hizi u turn hazina maana zaidi ya kutaka kurefusha mjadala!Mimi naamini umeelewa ila ni ile pride tu ndio inakufanya uendelee kutwist maneno na kuzunguka mbuyu!
Command zipo nyingi ikiwamo verbal command!Sio Kila jambo linahitaji nguvu!
Tukio hilo ni la aibu!
Huko juu umekubali Mzee huyo mpaka anafika hapo,hakuwa tishio kiusalama!Ndio ukaja na hoja ya maongezi binafsi ya PM na VP!
Kwahiyo hoja hapa ni privacy na sio security!
Yes gentleman,
mimi naelewa ndio maana nasisitiza,
hakuna raia anaweza kuruhusiwa kujoin au kuinterfere mazunguzo ya viongozi wa kitaifa regardless yeye ni Mzee au sijui alikua nani before. Hakuna security personnel anaweza kuruhusu hiyo nonsense, unless anataka kufutwa kazi.

Halafu nimekueleza hapo juu,
Kwamba raia Mzee hakua tishio na hapakua na kitisho chochote cha kiusalama kwa kiongozi au raia yoyote kwenye hafla hiyo.

Security personnels walitekeleza wajibu wao kwa weledi mkubwa mpaka viongozi hao wa kitaifa waliposambaa kuendelea na majukumu mengine makubwa ya taifa letu.

ni vizuri kuishi kwenye maelezo hayo muhimu sana 🐒
 
Umesahau mara hii huko juu ulianza na tishio la usalama na ndio ulikuwa msingi wa hoja Yako?Ndio member ikiwemo Mimi tukaeleza,mtu mpaka anafika kwenye hiyo proximity,Lazima awe amefanyiwa security clearance else ni uzembe!Kwa maana hiyo,mpaka anafika pale,alistahili kuwa pale!
Ukaja kwenye maongezi binafsi na kwamba hakutakiwa kusikia!Ndio tukasema,kama mtu sio security threat,kwanini afanyiwe hivyo?Hakuna njia mbadala Isipokuwa hiyo?Nakazia,was that the only way?
Kwa maoni yangu ndio Nikasema hapana,kungeweza kutumika namna nyingine bora zaidi kufikia matokeo hayo hayo!Nguvu sio suluhiaho pekee hasa kwa mazingira kama hayo!
Hapa unaweza kuwa unatetea tu,kumbe huko mtu anahojiwa maswali kama haya haya na wakubwa zake!
 
Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa muda mrefu View attachment 3691361

Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?

Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!

MC
Kila sehemu kwa wakati husika kuna protokali we zoba, hao jamaa wanajua kazi zao
 
Back
Top Bottom