Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa muda mrefu View attachment 3691361

Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?

Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!

MC
Hata Manuel alikuwa vice president, akisogea hapo angefanywa hivyo..semi-sextile huyo former Rc na waziri...alinusurika kuwa pm wa wakati huo
 
Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa muda mrefu View attachment 3691361

Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?

Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!

MC
Inshu kubwa hapo ni kulinda Faragha, Mzee alikua anawahi kusikia wanaongea nini?Mlinzi yuko sahihi
 
Usalama unapaswa kufuata taratibu kwa kila mtu, bila kujali cheo chake cha zamani. Hata hivyo, taratibu hizo zinapaswa kutekelezwa kwa heshima na busara, hasa kwa viongozi wastaafu walioitumikia nchi.
 
Lamek kinyonge sana ,anapokea maagizo kwa bosi wake .
 
hakunaga kujuana kwenye masuala ya usalama wa viongozi wa kitaifa, regardless wewe ni nani au uliwahi kua nani nchi hii before.

suala la usalama wa wa viongozi wa kitaifa ni nyeti na muhimu zaidi kuliko kitu chochote 🐒
Ulinzi wa Maghuri ulizidi hapo.
 
Back
Top Bottom