Umesahau mara hii huko juu ulianza na tishio la usalama na ndio ulikuwa msingi wa hoja Yako?Ndio member ikiwemo Mimi tukaeleza,mtu mpaka anafika kwenye hiyo proximity,Lazima awe amefanyiwa security clearance else ni uzembe!Kwa maana hiyo,mpaka anafika pale,alistahili kuwa pale!
Ukaja kwenye maongezi binafsi na kwamba hakutakiwa kusikia!Ndio tukasema,kama mtu sio security threat,kwanini afanyiwe hivyo?Hakuna njia mbadala Isipokuwa hiyo?Nakazia,was that the only way?
Kwa maoni yangu ndio Nikasema hapana,kungeweza kutumika namna nyingine bora zaidi kufikia matokeo hayo hayo!Nguvu sio suluhiaho pekee hasa kwa mazingira kama hayo!
Hapa unaweza kuwa unatetea tu,kumbe huko mtu anahojiwa maswali kama haya haya na wakubwa zake!