Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa muda mrefu View attachment 3691361

Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?

Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!

MC

Hapo unazungumzia suala la usalama Mzee, hapo hata angekuwa Baba yake na Mwigulu angepigwa stop tu....hapo halindwi Mwigulu wala Ndejembi sijui.... Hapo analindwa VP na PM..

ndani ya viunga vya Sanaa - Yemeni
 
Kuna wakati tunaweka siasa pembeni kidogo, tunajaribu kujadili kwa kutumia maarifa.

Kazi ya mlinzi sikujua nani na nani wako hapo, kazi yake ni kulinda mzingo wake aliokabidhiwa na mazingira yeyote yanayoweza kuleta hatari.....mengi haya ni nje ya hizi siasa mbuzi za CCM na CDM.

ndani ya viunga vya Sanaa- Yemeni.
 
Skiza gentleman,
usipotoshe wadau wa Jf plz.

Pale ingelikua yupo waziri mkuu au makamu wa Rais pekeyake, Raia yeyote yule angeruhisiwa kumsalimia, hata kama huyo Mzee mnaemuonea huruma, angekua na mazunguzo marefu labda na moja kati ya viongozi hao.

But kwakua,
waziri mkuu na makamu wa Rais wanafanya mazunguzo, haingekua rahisi raia wa kawaida tu kuruhusiwa na walinzi kujoin mazunguzo hayo au kuinterfere mazunguzo hayo kwa namna yoyote ile iwe kwa salamu au vinginevyo.
Ni vizuri kuelewa mambo haya kwa kina my friends, ladies and gentlemen.

Masuala ya sijui umri, sijui eti Mzee alikua nani wapi wakati ule ni vitu useless kwenye usalama wa viongozi wa kitaifa.
Nadhani mliwahi kushuhudia hata pale uwanja wa jamuhuri Dodoma, aliewahi kua mkuu wa mkoa wa Dodoma, Paul Christian Makonda, alizuiwa kabisa kuingia kwenye geti la kuelekea jukwaa la viongozi wa kitaifa pale jamuhuri kwakua yeye alikua ni raia wa kawaida tu na sii kiongozi wa kitaifa.

Raia wa kawaida unakwenda kufanya nini kwenye mazunguzo au jukwaa la viongozi wa kitaifa?
haiwezekani 🐒
Makonda lini aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dodoma? Wee chawa uwe na kumbukumbu kichwani humo, Lol
😂😂😂😂 kumbe hunaga akili, woiiiih
 
Hawa majamaa hamna kitu kazi kupigwa jua tu na miwani zao hizo .

Yaani ni zero brain yamekomalia kukamatwa wasiojiweza tu. Unakumbuka Zacharia aliwatawanya kama kuku.
 
huyu mzee ana historia kubwa alihojiwa UTV kipindi chaa.................. na amekutana na wengi maarufu ma papa kadhaa etc.


Wakati wa jiwe kwenye hafla zake anazokuwepo nilikuwa naona hawaweki visu au umma mezani, ni vijiko tu! Mbona kwa Trump kila kitu hadi visu vya kulia huwa vinawekwa mezani?
kumbe?? una kapicha????????
Nchi gani wanatangaza ajira za wanausalama?
zote kasoro zilizokuwa na ukomunist km chn krea kask na venez na cuba
 
Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa muda mrefu View attachment 3691361

Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?

Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!

MC
Nao wamezidi wacha wadharirishwe, si mnakumbuka huyu Mzee kwenye ule mkutano wa wazee wa Darisalaam wa ? huyu anatakiwa atembelewa nyumbani kwake, kila kitabu na zama zake.
 
hakunaga kujuana kwenye masuala ya usalama wa viongozi wa kitaifa, regardless wewe ni nani au uliwahi kua nani nchi hii before.

suala la usalama wa wa viongozi wa kitaifa ni nyeti na muhimu zaidi kuliko kitu chochote 🐒
Mbona Unakuwa mjinga Ivo Mzee mpaka kuwa na Proximity hivo na hio detail mana yake wapo aware, Kuna watu ni marobot kweli na Ujinga mwingi Yale Yale ya mlinzi kumzuia Rais wa Senegal kisha kavaa casual tu
 
Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa muda mrefu View attachment 3691361

Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?

Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!

MC
Protocol pia walizingua... watu mashuhuri wangetakiwa kuwa na utambulisho au kukaa mahali fulani...

Walinzi wengine ni Gen Z, watamjulia wapi Kimiti
 
Back
Top Bottom