Look alike. . .

Look alike. . .

Mimi ni juzi juzi tu nilikuwa pale Mattako Bar kuna mdada mmoja akanifanisha na mtu fulani anaitwa X nikamwambia sio mimi akarudi kwenye meza yake akakaa. baada ya kama nusu alinifata tena akisisitiza mbona tuko copy kabisa na huyo jamaa (nahisi amepotezana mawasiliano kwa muda mrefu na huyo mtu ) nikaendelea kusisitiza sio mimi, basi akaniomba nimjoin mezani kwake.

Kilichofuata pale yule Mdada alicover all expenses tulizokuwa tunatumia pale yaani chakula na vinywaji mpaka nikapata wasi wasi may be something is cooked against me, ndipo nilipoamuwa kuwapigia jamaa zangu ambao ni Military oficers na hawakuwa mbali ili waje nihame nao sehemu nyingine na gari yangu, then tuliachana kwa style hiyo na siko interested kuchat na huyo mdada she scared me for realy.
Hhhmmm. .
Matola nawe una mambo. Sasa unaogopa wakati hakuonyesha kukufananisha kwa ubaya?
 
we bana umecheeeelewa kweli .. mi natimu zangu sasa.. sina hamu na we...:hand::hand:

Heeey ndo kwanza saa kumi na mbili pande hizi. . .embu usiniletee mapozz ya ajabu. Ntakupiga.
 
Mimi ni juzi juzi tu nilikuwa pale Mattako Bar kuna mdada mmoja akanifanisha na mtu fulani anaitwa X nikamwambia sio mimi akarudi kwenye meza yake akakaa. baada ya kama nusu alinifata tena akisisitiza mbona tuko copy kabisa na huyo jamaa (nahisi amepotezana mawasiliano kwa muda mrefu na huyo mtu ) nikaendelea kusisitiza sio mimi, basi akaniomba nimjoin mezani kwake.

Kilichofuata pale yule Mdada alicover all expenses tulizokuwa tunatumia pale yaani chakula na vinywaji mpaka nikapata wasi wasi may be something is cooked against me, ndipo nilipoamuwa kuwapigia jamaa zangu ambao ni Military oficers na hawakuwa mbali ili waje nihame nao sehemu nyingine na gari yangu, then tuliachana kwa style hiyo na siko interested kuchat na huyo mdada she scared me for realy.

hii imekaa ki"kujimegeamegea" hivi...
 
Heeey ndo kwanza saa kumi na mbili pande hizi. . .embu usiniletee mapozz ya ajabu. Ntakupiga.

we nipige tu lakini mi huyo nakitoa..
baadaye bana. Kesho utakuwa pale kijiweni?
 
Navutiwaga sana na vituko na shepu ya Anti Ezekieli (muigizaji). Mtaani kuna baa medi kafanana nae almost 95%, nimejikuta siichoki hiyo baa, na nikienda lazima nihudumiwe na yeye. Kama hayupo job namfatuta...

Duh!!!!!!!!!!
 
Naaah. . .
Kesho i'll on the road. . .Dar inanukia.

ohhhhh okay ntakutafuta basi
kama jana.. ila hakikisha unaongea na huyo
unaemfananisha ili unipe umbea tukikutana 🙂
okay missy baadaye basi wasalimu uendako ..
 
Ahhhh hata sitopokea, ushaniboa tayari. Na hao Kurwa na Dotto nao ahhhhhh. . .nawaacha walivyo bana.
 
Nawe naye umeanza kudengua aee
usiwaache bana... em malizana nao basi. :redface::redface:
 
Kweli vile. . . yani nimeamka na majogoo alafu eti we uko Zzzzzzzzz?

Hehehe. . .Naaah nimeshaamua tayari. Labda wiki ijayo. . .ila wiki hii hata simu sitojibu.
 
hii imekaa ki"kujimegeamegea" hivi...
U will die quick buddy kama unawaza kingonongono,........ kwangu mimi ni jambo la kawaida kukaa na diferent sex bila kuhusisha mambo ya ngono lakini huyu alikwenda mbali zaidi nikahisi ni genge la kiharifu linamtumia kama chambo kwa Targeted person.
Ukidhani kila Mwanamke anayehitaji ukaribu na wewe ni wa kumegwa usije shangaa siku ukimegwa wewe mwenyewe!!
 
Wewe umeona hapa upendo uliokua unaongelewa unahisha ngono tu?

Toka nikiwa mdogo na nina mvi mama na baba angu hawajawahi nifundisha kuwapenda.
Ila hapa mazungumzo ni ngono tu hakuna kingine
 
Huyo mwanamke/mwanaume wako yeye alikufundisha?
 
Huwa inatokea sana hata mie kuna customer nilimfananisha na my ex bf basi kila siku akipita lazima nimpe salamu .
 
Back
Top Bottom