Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhhmmm. .Mimi ni juzi juzi tu nilikuwa pale Mattako Bar kuna mdada mmoja akanifanisha na mtu fulani anaitwa X nikamwambia sio mimi akarudi kwenye meza yake akakaa. baada ya kama nusu alinifata tena akisisitiza mbona tuko copy kabisa na huyo jamaa (nahisi amepotezana mawasiliano kwa muda mrefu na huyo mtu ) nikaendelea kusisitiza sio mimi, basi akaniomba nimjoin mezani kwake.
Kilichofuata pale yule Mdada alicover all expenses tulizokuwa tunatumia pale yaani chakula na vinywaji mpaka nikapata wasi wasi may be something is cooked against me, ndipo nilipoamuwa kuwapigia jamaa zangu ambao ni Military oficers na hawakuwa mbali ili waje nihame nao sehemu nyingine na gari yangu, then tuliachana kwa style hiyo na siko interested kuchat na huyo mdada she scared me for realy.
Wewe. . .
Sleepy mida hii? Unatafuta kupigwa ehhh?
Mimi ni juzi juzi tu nilikuwa pale Mattako Bar kuna mdada mmoja akanifanisha na mtu fulani anaitwa X nikamwambia sio mimi akarudi kwenye meza yake akakaa. baada ya kama nusu alinifata tena akisisitiza mbona tuko copy kabisa na huyo jamaa (nahisi amepotezana mawasiliano kwa muda mrefu na huyo mtu ) nikaendelea kusisitiza sio mimi, basi akaniomba nimjoin mezani kwake.
Kilichofuata pale yule Mdada alicover all expenses tulizokuwa tunatumia pale yaani chakula na vinywaji mpaka nikapata wasi wasi may be something is cooked against me, ndipo nilipoamuwa kuwapigia jamaa zangu ambao ni Military oficers na hawakuwa mbali ili waje nihame nao sehemu nyingine na gari yangu, then tuliachana kwa style hiyo na siko interested kuchat na huyo mdada she scared me for realy.
Heeey ndo kwanza saa kumi na mbili pande hizi. . .embu usiniletee mapozz ya ajabu. Ntakupiga.
Navutiwaga sana na vituko na shepu ya Anti Ezekieli (muigizaji). Mtaani kuna baa medi kafanana nae almost 95%, nimejikuta siichoki hiyo baa, na nikienda lazima nihudumiwe na yeye. Kama hayupo job namfatuta...
Naaah. . .
Kesho i'll on the road. . .Dar inanukia.
ohhhhh okay ntakutafuta basi
kama jana.. ila hakikisha unaongea na huyo
unaemfananisha ili unipe umbea tukikutana 🙂
okay missy baadaye basi wasalimu uendako ..
Ahhhh hata sitopokea, ushaniboa tayari. Na hao Kurwa na Dotto nao ahhhhhh. . .nawaacha walivyo bana.
Kweli vile. . . yani nimeamka na majogoo alafu eti we uko Zzzzzzzzz?Nawe naye umeanza kudengua aee
usiwaache bana... em malizana nao basi. :redface::redface:
U will die quick buddy kama unawaza kingonongono,........ kwangu mimi ni jambo la kawaida kukaa na diferent sex bila kuhusisha mambo ya ngono lakini huyu alikwenda mbali zaidi nikahisi ni genge la kiharifu linamtumia kama chambo kwa Targeted person.hii imekaa ki"kujimegeamegea" hivi...
Wewe umeona hapa upendo uliokua unaongelewa unahisha ngono tu?