Mdada
26 yrs
Masters holder
Tall 179 cm
73 kg currently
Mweupe wa kawaida
Mwajiriwa
Christian
Beautiful with brain
Mwanaume awe
From degree kuendelea
Mrefu kama mimi
Awe mfanyakazi/mwajiriwa/mfanyabiashara
Christian
Age from 30-45
Whether ana mtoto au la ila asiwe na uhusiano na baby moma wake
Kama tutaamua kuwa wapenzi aniruhusu niendelee na Phd baada ya mudaa fulani as i have planned, kama ni Sponsor i promise sitakucheat[emoji7] .
Nb: Kama huna hivyo vigezo plz usije pm, nenda kwa wenye vigezo kama unavyotaka wewe. Kupanga ni kuchagua!!!
Nawasilisha[emoji4]