Looking for a friend/future partner/sponsor

Looking for a friend/future partner/sponsor

And remember the one is adjective na nyingine noun so go and read wapi yanatumika na katika mazingira gani. Halafu utunge na sentensi kama mbili kwa kila neno, then ufananishe na hiyo ya kwangu.
Umechemsha mamaa,angalia vizuri sentensi yako,,acha bla bla
 
Umechemsha mamaa,angalia vizuri sentensi yako,,acha bla bla
Wewe ndio una bla bla unapinga halafu huna supporting evidence! Nimekwambia tunga sentensi ya nilichomaanisha kwa kutumia maneno yote mawili. Tunga hata kimoyomoyo
 
naomba nianzzie kwenye urafik kwanza huko mbele tutajuana
 
Ndio maana nikakwambia umesoma MEMKWA, kwa elimu ya Tanzania mtoto kawaida anaanza darasa la kwanza na miaka 7, aliyeanza na miaka 7 fist degree anamaliza 23, Masters two years 25, Grow up!
Mimi ninashaka na elimu yako ya masters kwa hesabu zako yani umemaliza degree str8 kwenye masters hy degree yako umeifanyia kazi gani ndio elimu ya Tanganyika ilivyo? mtu ana masters with zero exprience kwenye field aliyosomea kigezo tu anataka akianza kazi awe boss atakae kuajiri ww na masters yako ni mpuuzi kabisa then eti unataka kusoma PhD duh nyinyi ndo wale wenye PhD zenye utata ambazo zinafanya watu wanapotea wakizihoji
 
very courageous/daring and brave girl, i can see you caught most of guys off-guard, you just get yourself a man of your dream, just pm me.
 
(Anasoma ili aajiriwe) kumbe si ww unamsemea mtu mwingine sasa nataka kujua ni ww ndo unatafuta mume kwenye mitandao au kuna mtu unamsemea si ww???
Weka neno "mtu" before ---anasoma
 
Mimi ninashaka na elimu yako ya masters kwa hesabu zako yani umemaliza degree str8 kwenye masters hy degree yako umeifanyia kazi gani ndizo elimu ya Tanganyika ilivyo mtu ana masters with zero exprience kwenye field aliyosomea kigezo tu anataka akianza kazi awe boss atakae kuajiri ww na masters yako ni mpuuzi kabisa then eti unataka kusoma PhD duh nyinyi ndo wale wenye PhD zenye utata ambazo zinafanya watu wanapotea wakizihoji
Unajua maana/sababu ya Phd zenye Utata?
 
Mdada
26 yrs
Masters holder
Tall 179 cm
73 kg currently
Mweupe wa kawaida
Mwajiriwa
Christian
Beautiful with brain

Mwanaume awe
From degree kuendelea
Mrefu kama mimi
Awe mfanyakazi/mwajiriwa/mfanyabiashara
Christian
Age from 30-45
Whether ana mtoto au la ila asiwe na uhusiano na baby moma wake

Kama tutaamua kuwa wapenzi aniruhusu niendelee na Phd baada ya mudaa fulani as i have planned, kama ni Sponsor i promise sitakucheat[emoji7] .

Nb: Kama huna hivyo vigezo plz usije pm, nenda kwa wenye vigezo kama unavyotaka wewe. Kupanga ni kuchagua!!!

Nawasilisha[emoji4]

Nimechelewa kuona bandiko lako, niPM
 
uko na bikra na ume date how many boyz na sura yako je tabia malengo yako na vipi ukubwa mlango wako chini
 
Dah, huyu mrembo amenipita jaman, sifa zote ninazo isipokuwa pale tu kwenye elimu-mimi niliacha shule nikiwa la 5 baada ya kumtongoza na kumla mtoto wa mkuu wa shule tena kitandani kwa mwalimu.
 
Dah, huyu mrembo amenipita jaman, sifa zote ninazo isipokuwa pale tu kwenye elimu-mimi niliacha shule nikiwa la 5 baada ya kumtongoza na kumla mtoto wa mkuu wa shule tena kitandani kwa mwalimu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole
 
sifa zote ninazo ila tatizo langu ni kwako una umbo zuri. na linginne nina miaka 27 na niana kazi nzuri tu. na je unahtaji mtoto koz mi tukijuana tu lazima uzaee maana mi sina mtoto
 
Hun lolote inaonekana masters yako ni ya kulala chali..
 
Back
Top Bottom