schizoid-man
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 402
- 389
Will do[emoji41]Oooh So sorry[emoji22], go sponsor your studies first! Kupanga ni kuchagua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Will do[emoji41]Oooh So sorry[emoji22], go sponsor your studies first! Kupanga ni kuchagua
Hey mi si mnene just giant, weight ya mifupa hiyo.age 26 halafu 73kg, Control hii kwanza . Shukuru urefu vinginevyo ungemaliza mtori bila kuzifkia nyama.
Hey Im not applying my professional here.Master's degree in what.. Your response doesn't match up with a Master's degree holder
Wewe maliza shule kwanza!Degree ya nini kabla sijafika PM
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Nimalize shule tena wakati chuo nilimaliza mwaka 2011.Wewe maliza shule kwanza!
Haijakutosha![emoji15] [emoji15] [emoji15] Nimalize shule tena wakati chuo nilimaliza mwaka 2011.
Kivipi tena wakati mimi imenitosha.Haijakutosha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poa ila usije pm.Kivipi tena wakati mimi imenitosha.
Siji.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poa ila usije pm.
Ungekuwa Una hold Master's degree ungenielewa...Hey Im not applying my professional here.
TanzanianKabila lako please?
KTanzanian
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee unafanana na Wamachame.Tanzanian
HeheheUngekuwa Una hold Master's degree ungenielewa...
Bro vipi tena? Do you know something I don't??!No comment
Bust, Waist, Hip and Dress Size Please!Mdada
26 yrs
Masters holder
Tall 179 cm
73 kg currently
Mweupe wa kawaida
Mwajiriwa
Christian
Beautiful with brain
Mwanaume awe
From degree kuendelea
Mrefu kama mimi
Awe mfanyakazi/mwajiriwa/mfanyabiashara
Christian
Age from 30-45
Whether ana mtoto au la ila asiwe na uhusiano na baby moma wake
Kama tutaamua kuwa wapenzi aniruhusu niendelee na Phd baada ya mudaa fulani as i have planned, kama ni Sponsor i promise sitakucheat[emoji7] .
Nb: Kama huna hivyo vigezo plz usije pm, nenda kwa wenye vigezo kama unavyotaka wewe. Kupanga ni kuchagua!!!
Nawasilisha[emoji4]