Looking for a handsome man aged 32 - 40

Looking for a handsome man aged 32 - 40

ww unataka wa aina ipi
Uwe Na chura mkubwa ,kiuno cha nyigu. ,rangi chocolate, au mweupe usiwe mchoyo Na uwe una kipato cha million kwa mwezi.pia unipe nioshe rungu Mara NNE kwa siku.
 
Ngoja nipite kwa mbaali,maana katika vigezo tajwa sina hata kimoja.
 
Chukua namba yangu nibeep twende kwa kina kidogo sio kila jambo kufanyiwa masihara jamani inaweza ikawa bahati yangu
0787569981
 
Daaah sie tusiopenda kwenda Gym mbona tutakoma aisee,haya lakini
 
Aah! Memez, unataka wa red carpet nn? Maana vigezo vyako siyo vya husband material. Ni vya mtu wa kula bata naye. Waoaji ni Wale wenye miiili ya Kilkolomije, miguu pande, kichwa bapa na mgogo pinda. Hawa wakikuoa wanaganda kama ruba. Utamdekisha nyumba nzima na atakufulia. Utaishi kama malkia.
Siku hizi kuna mwanaume wa kumpigisha deki bila ya kuhusisha mizizioloji?

Acheni kiki mabinti wa mitandaoni.
 
Looking for a handsome man aged 32_40..'He should be single and ready for something serious....Awe mrefu na sio mnene iiivo, ya awe na body zuri la mazoez....mwenye sifa hizo anitafute Dm...Iam 25 of age....Okay niliwai chat na mtu wa humu ila tulivyo meet kwa mara ya kwanza sikuvutiwa nae tukapotezeana.
32-40 halaf single??..kwa dunia hii??
 
Looking for a handsome man aged 32_40..'He should be single and ready for something serious....Awe mrefu na sio mnene iiivo, ya awe na body zuri la mazoez....mwenye sifa hizo anitafute Dm...Iam 25 of age....Okay niliwai chat na mtu wa humu ila tulivyo meet kwa mara ya kwanza sikuvutiwa nae tukapotezeana.
Vigezo hivyo labda mbinguni.... [emoji126][emoji126][emoji126]
 
Uzuri wa post kama hizi kwa mwanaume huna kazi ya ziada tena wewe ni kujitwalia mzigo wako na kwenda kuushangaza kwa **o za mfululizo tu.
 
Siku hizi kuna mwanaume wa kumpigisha deki bila ya kuhusisha mizizioloji?

Acheni kiki mabinti wa mitandaoni.
Wakolomije wanadata sana na rangi za mikorogo. Jimwagie mkorogo usoni uwe mweupe halafu jipitishe kwa mkolomije. Atanasa mazima. Akikuoa siku ya kwanza tu mwambie nikisogelea moto wa jiko huwa napata kizunguzungu, nikideki ndiyo kabisa nazimia, nikifua nawashwa na sabuni. Mkolomije anaubeba mzigo wote huu siku msichana wa kazi akikosekana
 
Back
Top Bottom