Uwe Na chura mkubwa ,kiuno cha nyigu. ,rangi chocolate, au mweupe usiwe mchoyo Na uwe una kipato cha million kwa mwezi.pia unipe nioshe rungu Mara NNE kwa siku.ww unataka wa aina ipi
Umekubuhu wewe umewajuaje wamejariwa marungutena nyie mmejaliwa atari
Mkuu gym inakuhusu,ona kifriji chako kinavyokukosesha mambo mazuriKila la kheri, ukimkosa unikumbuke na kitambi changu...
Wewe jamaa umenichekesha du!sawa tu
Unachagua kama karangawhats funny
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]afu sio unatusumbua tu hapa afu dem lenyew bayaa
Mkuu ulikuwa wewe ninu,mboni hasira ivo***** walahi! Wanawake wengine mna mazarau! Utafikiri mnakunya pesa,eti hukuvutiwa nae" muumbe wa kwako akuvutie,kwani alikwambia alivutiwa na wewe,
Good !!! Kama ni bikra hifadhi bikra yako atakuja tu, na kama ni hollow tyre oh!! Sorry !! Utapata shida sana kutangaza.siwez mwaya, nimeamua kuachana na hili.zoez rasmi
za muda ?ndio
Siku hizi kuna mwanaume wa kumpigisha deki bila ya kuhusisha mizizioloji?Aah! Memez, unataka wa red carpet nn? Maana vigezo vyako siyo vya husband material. Ni vya mtu wa kula bata naye. Waoaji ni Wale wenye miiili ya Kilkolomije, miguu pande, kichwa bapa na mgogo pinda. Hawa wakikuoa wanaganda kama ruba. Utamdekisha nyumba nzima na atakufulia. Utaishi kama malkia.
32-40 halaf single??..kwa dunia hii??Looking for a handsome man aged 32_40..'He should be single and ready for something serious....Awe mrefu na sio mnene iiivo, ya awe na body zuri la mazoez....mwenye sifa hizo anitafute Dm...Iam 25 of age....Okay niliwai chat na mtu wa humu ila tulivyo meet kwa mara ya kwanza sikuvutiwa nae tukapotezeana.
Vigezo hivyo labda mbinguni.... [emoji126][emoji126][emoji126]Looking for a handsome man aged 32_40..'He should be single and ready for something serious....Awe mrefu na sio mnene iiivo, ya awe na body zuri la mazoez....mwenye sifa hizo anitafute Dm...Iam 25 of age....Okay niliwai chat na mtu wa humu ila tulivyo meet kwa mara ya kwanza sikuvutiwa nae tukapotezeana.
Ha ha ha naishi huku mtwara mjini, upo tayari kuhamia huku baada ya ndoa mchumba??yes mm mweupe,utanipenda tu
Kama wewe mrembo kiasi kwa nini unatafuta dume mrefu, handsome, na mwenye body nzuri ya mazoezi?chapakaz mrembo kias
Wakolomije wanadata sana na rangi za mikorogo. Jimwagie mkorogo usoni uwe mweupe halafu jipitishe kwa mkolomije. Atanasa mazima. Akikuoa siku ya kwanza tu mwambie nikisogelea moto wa jiko huwa napata kizunguzungu, nikideki ndiyo kabisa nazimia, nikifua nawashwa na sabuni. Mkolomije anaubeba mzigo wote huu siku msichana wa kazi akikosekanaSiku hizi kuna mwanaume wa kumpigisha deki bila ya kuhusisha mizizioloji?
Acheni kiki mabinti wa mitandaoni.