Sayari Mpya
New Member
- Oct 15, 2013
- 2
- 0
Nitafuta nyumba ya Vyumba Vitatu Vya kulala, sebule na jiko au Vyumba Viwili vyakulala, sebure na jiko kama vyumba ni vikubwa sana. my budget is Tsh 300,000. Isiwe zaidi ya kilometer 6 kutoka mjini, isiwe mbali na barabara na iwena fence.