Looking for A house in Arusha

Looking for A house in Arusha

Sayari Mpya

New Member
Joined
Oct 15, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Nitafuta nyumba ya Vyumba Vitatu Vya kulala, sebule na jiko au Vyumba Viwili vyakulala, sebure na jiko kama vyumba ni vikubwa sana. my budget is Tsh 300,000. Isiwe zaidi ya kilometer 6 kutoka mjini, isiwe mbali na barabara na iwena fence.
 
karibu ndugu ninayo yenye vyumba vitatu choo na siting room bei ni mia tatu viko sakina white rose
 
Back
Top Bottom