Looking for God fearing husband who is ready to settle

Looking for God fearing husband who is ready to settle

My mother hatafuti mwanaume lakini. Ana mume wake na watoto na vitukuu. Wewe endelea kutembeza pussy kwa masharti ulitegemea kupata mume.

Loser

I doupt kama mama yako ana hiyo cv asingekuwa na mtoto kiazi kama wewe,anayepata tabu juu ya maisha ya watu.wewe lazima umekulia kwenye madanguro that why akili yako finyu
 
Unafosi kupita mbele.

Wanaume wapo wanaotaka kukuoa wapo wengi katika wanaokuzunguka maeneo unaposali, Unapofanya kazi, kwenu ulipokulia, chuo ama shule ulizosoma, huko yupo mumeo mtarajiwa.

Mwanaume Stranger ambaye yupo tayari kukuoa lazima utamuona hana vigezo. Wale wenye vigezo wameshawaiwa na wanawake wenzako waliopo kwenye mazingira yao.

Maana wanawake karibu wote duniani mnafanana vigezo vya mume mnayemtaka aweje. Mwanaume mwenye maisha ya kueleweka ngumu sana kumuoa stranger

Very positive comment,thank you,ngojea nimalize waliokuja pm nione kama wote hawapo serious i will stick to this plan,be blessed
 
I doupt kama mama yako ana hiyo cv asingekuwa na mtoto kiazi kama wewe,anayepata tabu juu ya maisha ya watu.wewe lazima umekulia kwenye madanguro that why akili yako finyu
Pambania kombe lako A.hole, huwezi olewa kwa kubishana na wanaume mitandaoni. Seems you are a hopeless and desperate wife wannabe.

No serious man would even waste his time looking at a jackass like you.
 
Unateseka ukiwa wapi???umeachwa au??una stress sana
 
Wanaume wasio na masters ndo wanatukana kwa hii thread
 
Not everything you think is right.Na hili sio sahihi kwa kuwa unaweza ukapata Jini.

Sasa baba mathanzua si kuna majini na watu pia si wapo,sema tuu ugumu ni kutofautisha majini na watu ndo maana tunasali na kumtegemea Mungu.majini yamejaa hata huku maofisini na majumbani.labda tuu useme zimwi linalokujua lina nafuu[emoji23][emoji23]
 
28years old female
Degree holder
Polite and very humble lady
Employed
Single With no children
Nipo Arusha kikazi(uliopo around hapa itapendeza) wote mnaokuja pm mnatokea Dar mkidhani nipo Dar

Looking for
God fearing man
Polite and humble guy
Christian akiwa catholic itapendeza
Age from 30-35

Educated(akiwa na masters itapendeza)not important but kuondoa infiriority complex later on since i love education

Stable and Matured man who need to settle down
If you know you havent finish yet to play around please dont pm me,na Mungu awabariki.

Dont ask mtaani hawapo[emoji23]
I havent met him yet,so maybe yupo humu jf plz pm me.

Idadi kubwa inayokuja pm ni single fathers,jamanii si mrudii mkaoe hao wadada mliowazalisha[emoji848]
Hivi ni kusema at 30-35 all men mmeshakichafua mtaani???no sterile man kabisa.
At 30 mtu una watoto wawili na haujaoa that red flag.kila wanawake walikuwa wanashida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alafu huku jamii forum mpo busy kuharass single mothers.

A guy with no kid itapendeza.single father uje na recommendation later kutoka kwa baby mama wako,mtoto asizidi mmoja
Mwachiluwi unaitwa huku
 
I doupt kama mama yako ana hiyo cv asingekuwa na mtoto kiazi kama wewe,anayepata tabu juu ya maisha ya watu.wewe lazima umekulia kwenye madanguro that why akili yako finyu

Exit: princess jack.

Enter: jack the princess.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom