Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,018
- 4,369
Huyo atakua na inglishi figa si unaona kinge kinge kingi sana! Saikolojikali wale wenye chura huwa hawana hizo mambo za kinge kinge hawana muda huo..Una Chura ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo atakua na inglishi figa si unaona kinge kinge kingi sana! Saikolojikali wale wenye chura huwa hawana hizo mambo za kinge kinge hawana muda huo..Una Chura ?
the wrongestRas Simba hii,dah[emoji1]! [emoji117]If you know you havent finish yet to play around please dont pm me,na Mungu awabariki[emoji118].Anyway my major point is JF is the wrong place for you to look for a husband.You know what?Unaweza ukalikwaa pepo,ogopa sana,mapepo yamo humu.
sijapenda kwanzia muandiko, jina na umri wako.
Hahahaha Princes haBasi ngojea niongee kisukuma,
onepandeka bhageshi kunguru wa unguja
Happy ndio umenichanganya kabisaBasi ngojea niongee kisukuma,
onepandeka bhageshi kunguru wa unguja
Asante 🤣🤣🤣Huyo atakua na inglishi figa si unaona kinge kinge kingi sana! Saikolojikali wale wenye chura huwa hawana hizo mambo za kinge kinge hawana muda huo..
Mkuu sawa ila ngoja nkufundishe technique ya kudeal na vitu kama hivi, wewe unatakiwa uangalie strengths tu, zile weakness achana nazo alafu hizo strengths ndio utafute namna ya kuzifanya zi sprouts ili kije kiwe kitu kizuri, na hii ni especially kama unamtaka aje awe mke wako, na jambo jingine la msingi kabisa sio vibaya kumfix mtu anapokosea ila huwa ni vizuri zaid kuangalia positive side ya jambo lolote na ukalisema vizuri ili lijenge zaid hiyo itakujenga mentally kuona opportunity nyingi kwenye maisha ambazo zitakupa alot of positive results.. Samahan kwa kuchanganya na kingereza nikisema kwa kiswahili maelezo yatakuwa mengi na nimechoka kutype Yanga tumepiga mtu vibaya mno mkuu...Ni kweli mkuu ila ametumia kiingereza kama silaha ya kujinadi
Huna sifa.Mnanishaurije jamani nigombee jimbo au nisome comments
[emoji1787][emoji1787], bahari huwa anazama mazima hanaga muda wa kupata ruksa au kibaliMnanishaurije jamani nigombee jimbo au nisome comments
Mwachiluwi Ni mdigo wa Tanga. Unategemea MTU wa Tanga ahangaike na makatapela wakati Tanga Kuna vigoli wakutosha?Mwachiluwi unaitwa huku
Asante brooo kwakunisemea vyema kabisaMwachiluwi Ni mdigo wa Tanga. Unategemea MTU wa Tanga ahangaike na makatapela wakati Tanga Kuna vigoli wakutosha?
Siku zote wanawake wanatongozwa, ukiona mwanamke amejianika ujue Hana tofauti na wale wa Sewa, Mboka, Rambo, Lubumbashi, Sugar Ray n.k
Kibaya zaidi huyu anachagua.
Mshaurini aondoe vigezo na masharti boda boda wachangamkie tenda.
Hata mimi naona. Ngoja niwaachie wengineHuna sifa.
This word does not exist in English,umeandika ukiwa serious au?the wrongest