Looking for God fearing husband who is ready to settle

the wrongest
 
Nina zaidi vigezo 120😀
Ila sjaanza kumtaka na kuvutiwa na mwanamke Ambaye hata sura haionekani..No no no huo' Ni uwongo kabisa
Haiwezekani ! ✖️
 
Ni kweli mkuu ila ametumia kiingereza kama silaha ya kujinadi
Mkuu sawa ila ngoja nkufundishe technique ya kudeal na vitu kama hivi, wewe unatakiwa uangalie strengths tu, zile weakness achana nazo alafu hizo strengths ndio utafute namna ya kuzifanya zi sprouts ili kije kiwe kitu kizuri, na hii ni especially kama unamtaka aje awe mke wako, na jambo jingine la msingi kabisa sio vibaya kumfix mtu anapokosea ila huwa ni vizuri zaid kuangalia positive side ya jambo lolote na ukalisema vizuri ili lijenge zaid hiyo itakujenga mentally kuona opportunity nyingi kwenye maisha ambazo zitakupa alot of positive results.. Samahan kwa kuchanganya na kingereza nikisema kwa kiswahili maelezo yatakuwa mengi na nimechoka kutype Yanga tumepiga mtu vibaya mno mkuu...
 
Mwachiluwi Ni mdigo wa Tanga. Unategemea MTU wa Tanga ahangaike na makatapela wakati Tanga Kuna vigoli wakutosha?
Siku zote wanawake wanatongozwa, ukiona mwanamke amejianika ujue Hana tofauti na wale wa Sewa, Mboka, Rambo, Lubumbashi, Sugar Ray n.k
Kibaya zaidi huyu anachagua.
Mshaurini aondoe vigezo na masharti boda boda wachangamkie tenda.
 
Asante brooo kwakunisemea vyema kabisa
 
mwanamke ukianzia 25 na kuendelea hutakiwi kuchagua mume .unaekutana nae ili mradi anapumua malizana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…