Looking for God fearing husband who is ready to settle

Unaonekana unaongea sana ndo maana hujapata mchumba wa kukuoa huko mtaani kwenu..unakofanya kazi na ulikosoma..punguza mdomo utaolewa..wanaume hawapendi wanawake waongeaji sana..
 
Hii changamoto kubwa sana nowadays na jamaa zangu wawili wameingizwa kingi na ndoa zimeshafungwa
Kuna mdada nilimpenda sana akawa ananibania na miaka ikapita hatujaonana!

Gafla tu akaanza kunitafuta na akawa ananiambia kuwa labda mimi nimkweli.

Baada ya muda akasafiri kunifuata mkoa nilipo na akaniambia hata nisipomuoa lakini antamani apate mtoto na mimi. Na kwamba aliachana na mtu wake baada ya kumlazimisha kutoa mimba baadae nikaja gundua ana mtoto huko kwao!

Alivojua nimegundua hata nikimpigia simu hapokei tena.
 
Hupendwi
 
At the end kumbe wewe ni yanga mwenzangu๐Ÿ˜‚๐Ÿ’›๐Ÿ’š
 
At the end kumbe wewe ni yanga mwenzangu๐Ÿ˜‚๐Ÿ’›๐Ÿ’š
Nimecheka kinoma mpaka watu wananiona chizi, umekuja mpaka huku ahahaha yule jamaa inabid awe strong hakuna namna watu wana maneno sana hapa duniani mkuu, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ