Looking for God fearing husband who is ready to settle


Sasa brother this life tafuta wa kuendana naye,mwanamke wa kutafuta naye au wa kumtafutia,choice is yours,mbona kama vile watu mna roho za kichawi jamaniii,lazima mje kuweka negativity hapa,i think kama upo interested unakuja pm,not interested una skip
 
Mimi nina sifa zote, mpaka masters ila sina hela, sina ajira wala sina biashara. Ni ungaunga mwana tu, kama hapa nipo nakomaa nifukuzie buku mbili la msosi mchana.
Hapo vipi?

Wanaume wa jf hawatoki mbinguni, ndo hao hao wa mtaani kwako, kazini kwako, na ndo hao hao unaokutananao small planet, kitambaa cheupe, warehouse, element, wavuvi.
Advantage uliyonayo ni kwamba wa huku hawakujui.
 
Target,
Kuna muhanga atakuja kuomba ushauri hapa soon
 
Wife material umejua kutema yai[emoji91][emoji91]

Nimeikosa mke kisa darasa la 7 B,
Alafu sina nguvu ya kujibu punchlines za yai siku tukigombana
 
Nashangaa umepanic na makasiriko kibao πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ŠπŸ€“πŸ€“

Mm natania wewe umetake seriously 😳😳😳

Kila lakheli Mungu akupe hitaji la moyo wako....
 
Nashangaa umepanic na makasiriko kibao [emoji3][emoji3][emoji2][emoji4][emoji851][emoji851]

Mm natania wewe umetake seriously [emoji15][emoji15][emoji15]

Kila lakheli Mungu akupe hitaji la moyo wako....

Sasa unataniaje kwenye mambo ya msingi kama haya,hivi unafikiri kuweka bandiko jf ni kitu chepesi.Muache masihara kwenye mambo ya watu.mimi nipo serious unaleta jokes,unanifanya nipanick mpaka watoto wa mama wakwe mwishowe wasije pm[emoji23][emoji23]
 
My wife i have been waiting for sooo long to meet you..
Can't wait to see you.
 

Usipokuwa financial stable at least basi uwe na positivite mindset.hoja zako zote nimezijibu kwenye bandiko langu,karudi usome tena
 
Mwaka huu kengele ina gonga 29 mwezi wa 7 vipi nije PM , Ila sina masters nina degree ya Uhasibu tuu kutoka chuo kikuu M.O.C.U , job ninayo


vipi nije PM ?
 
Hayo ni mawazo yako brother tunatofautiana,as wewe unasema hivyo,pia kuna vijana wa mama wakwe pm,wewe ambaye huu utaratibu unakukwaza unafanya nini kuingia kwenye hili jukwaa si uende kwenye majukwaa ya siasa huko.stop be hypocrate
Oh ok, you mean i am hypocrite? That's your perception, i am for real and truth must be told, get yourselftogether and face it.
 
Sasa unataniaje kwenye mambo ya msingi kama haya,hivi unafikiri kuweka bandiko jf ni kitu chepesi.Muache masihara kwenye mambo ya watu.mimi nipo serious unaleta jokes,unanifanya nipanick mpaka watoto wa mama wakwe mwishowe wasije pm[emoji23][emoji23]
πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sirudii tenaaaaa kutania kwenye serious issues...
 
Haya semeni jingine,huyo sasa no child wala nini,mshindwe wenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…