Habari jf team.
Nimechoka na maisha ya upweke. Finally, nimeamua kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa future yangu na familia ambayo Mungu atanibariki.
Natafuta MWANAMKE ambaye anahitaji mwanaume wa KUMUOA na sio anayetaka mwanaume wa KUOANA nae.
Sifa zake :
Awe mwanamke mwaminifu na mwenye hofu ya Mungu asiyekuwa na mambo mengi.
Awe na Miaka kati ya 25 hadi 33.
Awe tayari kutolewa posa baada ya kufahamiana na kuridhiana.
Elimu yeyote hata darasa la 4 B kikubwa awe anajitambua kuhusu maisha.
Mwenye uhitaji aje tujenge maisha pamoja.
Asante.