Looking for "Mrs Right"

Looking for "Mrs Right"

Astrid

Member
Joined
Dec 4, 2023
Posts
28
Reaction score
27
Habari jf team.

Nimechoka na maisha ya upweke. Finally, nimeamua kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa future yangu na familia ambayo Mungu atanibariki.

Natafuta MWANAMKE ambaye anahitaji mwanaume wa KUMUOA na sio anayetaka mwanaume wa KUOANA nae.
Sifa zake :
Awe mwanamke mwaminifu na mwenye hofu ya Mungu asiyekuwa na mambo mengi.
Awe na Miaka kati ya 25 hadi 33.
Awe tayari kutolewa posa baada ya kufahamiana na kuridhiana.
Elimu yeyote hata darasa la 4 B kikubwa awe anajitambua kuhusu maisha.

Mwenye uhitaji aje tujenge maisha pamoja.

Asante.
 
Mungu akupe mke mwema,hongera hujawa kama mtu m, moja hivi na mpaka mashangazi yamuueee
 
Mimi mashangazi hapana. Ndio maana nataka age range hiyo kwa sababu by that age range hapo pia wapo graduates wa vyuo vikuu wanaosubiria ajira - kwa hiyo mwenye uhitaji anaweza akawa tu mke wangu na mambo ya ajira yatakuja akiwa mama wa familia tayari
 
Kwahyo tulioishia kidato Cha 4 na tulipata ufaulu wa D 4 tunaruhusiwa kuja ?
 
Me naona Bora angesema angalau awe na D 4 katika masomo ya kemia,fizikia,hisabati na bailojia...
Maana watoto hurithi akili kutoka kwa mama
Lakini wapo watu ambao wazazi wao hawakusoma lakini Leo hii watoto wapo kwenye high position na Wana elimu nzuri tu
 
Back
Top Bottom