Looking for "Mrs Right"

Looking for "Mrs Right"

Em weka na sifa zako.
Ukisoma tu hapo sifa zangu zinajieleza boss wangu. Si umeona elimu yangu ni ya hapa na pale ndio maana nipo tayari kuwa na mwanamke wa elimu yeyote ile primary la 4 B au hata chuo kikuu mwenye degree.

Kikubwa mwanamke awe na upendo wa kweli na ana uhitaji wa mume
 
Hivi ndio kusema wadada humu wote mumeolewa au mpo kwa relationship leading to marriage ama ni madharau?

Hivi kweli hamuoni tangazo la husband material kabisa halafu mnanipotezea?

Sijapenda hiyo tabia yenu bana.
Mkuje tafadhali 🙏 🙏

NAWASUBIRIA 🙏
 
Habari jf team.

Nimechoka na maisha ya upweke. Finally, nimeamua kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa future yangu na familia ambayo Mungu atanibariki.

Natafuta MWANAMKE ambaye anahitaji mwanaume wa KUMUOA na sio anayetaka mwanaume wa KUOANA nae.
Sifa zake :
Awe mwanamke mwaminifu na mwenye hofu ya Mungu asiyekuwa na mambo mengi.
Awe na Miaka kati ya 25 hadi 33.
Awe tayari kutolewa posa baada ya kufahamiana na kuridhiana.
Elimu yeyote hata darasa la 4 B kikubwa awe anajitambua kuhusu maisha.

Mwenye uhitaji aje tujenge maisha pamoja.

Asante.
mmh
 
Back
Top Bottom