jizolee mkayajenge mengine yatajisolve mbeleLeo tulikuwa na mjadala vijana wa kiume sehemu.Aisee inaonesha moja ya mambo ya hatari kwa sasa ni kuoa kwa mwanaume.
Nikiwaza na uzi wa juzi ulioletwa humu wa namna mwanamke amemfanyia mme wake baada ya mume kuumwa, I get worried indeed.
Naomba niadd katika huo Uzi mkuuLeo tulikuwa na mjadala vijana wa kiume sehemu.Aisee inaonesha moja ya mambo ya hatari kwa sasa ni kuoa kwa mwanaume.
Nikiwaza na uzi wa juzi ulioletwa humu wa namna mwanamke amemfanyia mme wake baada ya mume kuumwa, I get worried indeed.
Acha maneno mengi kama unavigezo tajwa tukutane pm🤪financial services ndo umeamua kuja na id mpya!.
Sawa utapata tu huyo beta hafu.
NakaziaJinsia gani?
Mungu akufanyie wepesiHabari wana jf.Niko hapa kutafuta mwenza.
Im in my early 30's ,mkristo nina mtoto mmoja.Itapendeza kumpata mkristo pia na umri kuanzia miaka 34 ,na uwe na kipato halali.Ikiwa una nia karibu sana PM iko wazi.
Naomba kuwasilisha.
Nasubiri huo mzongomano huko pm uishe kwanza mi mpenzi wa kugombania siwezi nitatafuna watu bure!!😂Acha maneno mengi kama unavigezo tajwa tukutane pm🤪
Changamkia fursaanatafutwa mwenza wa jinsia yeyote
Huna vigezo wewe maneno mengii😂Nasubiri huo mzongomano huko pm uishe kwanza mi mpenzi wa kugombania siwezi nitatafuna watu bure!!😂
Changamkia fursa hiyo utapata partner wa threesomes hapoanatafutwa mwenza wa jinsia yeyote
Upo mkoa gani mammy?Habari wana jf.Niko hapa kutafuta mwenza.
Im in my early 30's ,mkristo nina mtoto mmoja.Itapendeza kumpata mkristo pia na umri kuanzia miaka 34 ,na uwe na kipato halali.Ikiwa una nia karibu sana PM iko wazi.
Naomba kuwasilisha.