Looking for my better half

Looking for my better half

Nasoncia

New Member
Joined
Feb 6, 2022
Posts
1
Reaction score
6
Habari wana JF.

Niko hapa kutafuta mwenza.

Mimi ni nwanamke.

Im in my early 30's ,mkristo nina mtoto mmoja. Itapendeza kumpata mkristo pia na umri kuanzia miaka 34, na uwe na kipato halali.Ikiwa una nia karibu sana PM iko wazi.

Naomba kuwasilisha.
 
Leo tulikuwa na mjadala vijana wa kiume sehemu.Aisee inaonesha moja ya mambo ya hatari kwa sasa ni kuoa kwa mwanaume.

Nikiwaza na uzi wa juzi ulioletwa humu wa namna mwanamke amemfanyia mme wake baada ya mume kuumwa, I get worried indeed.
 
jizolee mkayajenge mengine yatajisolve mbele
 
Leo tulikuwa na mjadala vijana wa kiume sehemu.Aisee inaonesha moja ya mambo ya hatari kwa sasa ni kuoa kwa mwanaume.

Nikiwaza na uzi wa juzi ulioletwa humu wa namna mwanamke amemfanyia mme wake baada ya mume kuumwa, I get worried indeed.
Naomba niadd katika huo Uzi mkuu
 
Baada ya kupata bao moja ugenini ndo unataka kuoa sijui kuolewa wanawake wajanja sana
 
Habari wana jf.Niko hapa kutafuta mwenza.

Im in my early 30's ,mkristo nina mtoto mmoja.Itapendeza kumpata mkristo pia na umri kuanzia miaka 34 ,na uwe na kipato halali.Ikiwa una nia karibu sana PM iko wazi.

Naomba kuwasilisha.
Mungu akufanyie wepesi
 
Upo mkoa gani mammy?
 
Back
Top Bottom