‘Loon Baloon’ mbili zatua Kenya

‘Loon Baloon’ mbili zatua Kenya

Loon Ballons zitasaidiaje mapambano dhidi ya coronavirus?
Sio kila kitu corona virus. Kwa hivyo watu wasiende chooni au wasifanye mahaba na wake zao kwa sababu ya corona virus? Wewe ni mzee sana ndio maana umetishika na corona virus, sisi vijana tuwache tuendelee kutanua.
 
ambia google wapeleke maji Kibera
 
Huko kwa vijiji wanapataje hiyo 4g ? ni sawa ugawe tairi za range rover kijijini useme unatatua tatizo ya usafiri, huku wote wanatumia baiskeli

mkuu hujamuelewa kenyatta na una uelewa mdogo na haya mambo, ni hivi ikiwepo teknojia ya 4G vijijini zinaweza kupelekwa smart tv hata kwa wenyekiti wa vijiji alafu zina connectiwa na internet watu wanaenda kwa mwenyekiti kupata kutazama channel mbalimbali pamoja na kutazama program ambazo zinatoa elimu juu ya corona
4G SIO YA SIMU TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom