‘Loon Baloon’ mbili zatua Kenya

‘Loon Baloon’ mbili zatua Kenya

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
‘Loon Baloon’ ni teknolojia ya kisasa ya google, inayoweka mtandao wa 4G kwa maeneo yasiyo na mtandao

Haya ni maputo yanayoelea kwa Kilometa 18 - 25 na kuleta mtandao kwa eneo kubwa lisilo na minara ya mitandao. Na maputo haya ni kati ya vitu vya kuweka mtandao kwenye maeneo ya vijini ambayo kwa kiasi kikubwa hayana mtandao

Rais wa Kenya Uhuru Kenyata alitangaza wiki iliyopita kwamaba anataraiajia kuingia mkataba na google ili kuwe na mitandao hata maeneo yaliyo vijijini ili kurahisisha watu wote kupata elimu juu ya #CoronaVirus

‘Loon Baloons’ zitawasaidia watu kupata ufahamu wa #Covid_19, kwa gharama nafuu na kwa maeneo mengi zaidi

====
Google's Loon internet balloons have finally gone airborne in the Kenyan space ten days after the government authorised the tech-giant and Telkom to deploy the balloons.

Data from Flight Radar shows that the two balloons (HBAL092 and HBAL125) are currently airborne in Migori and Homabay area over 60,000 feet.

The balloons were launched in Nakuru and have since travelled though Nairobi, Machakos, Kiambu, Kajiado, Garissa and Tana River counties.

But it is not clear whether the balloons were on a test flight or are already connecting Kenyans with high speed 4G internet services.

Last week, President Kenyatta announced that the government is working with Google Loon to help Kenyans in remote areas access internet services in the wake of the coronavirus pandemic.

“My administration has granted approvals that will ensure universal 4G data coverage is available throughout the country,” he said. “Google Loon, in partnership with Telkom Kenya, will help Kenyans access high speed 4G internet services. This will keep Kenyans connected to emergency services wherever they are.”

The Loon project now boasts of three base stations in Nairobi, Nyeri and Nakuru, which will offer support to the balloon access to an internet signal. The three stations were identified because of their robust internet and data services.

From these base stations, the signals are beamed to a balloon overhead, which is then transmitted across multiple other balloons extending internet coverage to areas far away from the base station, and which have poor network connectivity.

Google Loon is a project that uses balloons to extend connectivity to the many people around the world who have no internet access.
It is a network of balloons travelling on the edge of space delivering connectivity to people in unserved and under-served communities.
 
Huko kwa vijiji wanapataje hiyo 4g ? ni sawa ugawe tairi za range rover kijijini useme unatatua tatizo ya usafiri, huku wote wanatumia baiskeli
 
Wow
Screenshot_20200405-125256_Flightradar24.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ICYMI:

Loon is part of a portfolio of Google's project X, check website yake below:
X – The Moonshot Factory

Loon website below:
Loon

Tayari wamekuwepo Kenya kwa mda mrerfu tu lakini wamekuwa waki-operate on a trial/or pilot basis, kuna hata kipindi moja ya balón yao ilikutwa imeangukia kwenye shamba la mkulima wa kahawa.

Zaidi ya Kenya wamekuwa walkifanya trials ktk nchi nyingine pia kama New Zealand, Australia, Peru, Puerto Rico etc. waliomba kafaya trials in India lakini wakanyimwa kibali. na serikali.

Kwasababu Google sio Mobile Network Operator (MNO), ili mtumiaji aweze kupata service ni lazima Google waingie partnership na local MNO's like Safaricom, Airtel etc ambao wana-own terrestrial networks.

Faida yake ni ku-extend terrestrial network capacity and coverage kwenye under-served, or unserved hard-to-reach rural and peri-urban communities.

Facebook nah wamekuwa wakifanya research kwenye similiar initiative lakini kwa kutumia solara drones, project Yao inaitwa "Aquila", inaonekana kama siku hizi interest yao imepungua na wameanza ku-focus kweye micro-satellites na Open source cellular infrastructures ambazo zinakuwa owned na local communities.
 
Naona kuna watu wanaifananisha TZ na Kenya ki Tech...! Em tuache masikhara, afu wao sio wapuuzi kuingia gharama na kufikiria kupelekea 4G vijijini eti hakuna wenye smartphones...! Sikuiz mpaka smart vitochi za 50k zina 4G hata muuza maji anaweza kununua leo hii mtu anasema vijijini 4G ni meanless! Labda kwa TZ tu sio majirani zetu Kenya..
 
ICYMI:

Loon is part of a portfolio of Google's project X, check website yake below:
X – The Moonshot Factory

Loon website below:
Loon

Tayari wamekuwepo Kenya kwa mda mrerfu tu lakini wamekuwa waki-operate on a trial/or pilot basis, kuna hata kipindi moja ya balón yao ilikutwa imeangukia kwenye shamba la mkulima wa kahawa.

Zaidi ya Kenya wamekuwa walkifanya trials ktk nchi nyingine pia kama New Zealand, Australia, Peru, Puerto Rico etc. waliomba kafaya trials in India lakini wakanyimwa kibali. na serikali.

Kwasababu Google sio Mobile Network Operator (MNO), ili mtumiaji aweze kupata service ni lazima Google waingie partnership na local MNO's like Safaricom, Airtel etc ambao wana-own terrestrial networks.

Faida yake ni ku-extend terrestrial network capacity and coverage kwenye under-served, or unserved hard-to-reach rural and peri-urban communities.

Facebook nah wamekuwa wakifanya research kwenye similiar initiative lakini kwa kutumia solara drones, project Yao inaitwa "Aquila", inaonekana kama siku hizi interest yao imepungua na wameanza ku-focus kweye micro-satellites na Open source cellular infrastructures ambazo zinakuwa owned na local communities.
Maelezo mazuri sana! Hongera mkuu..
 
Huko kwa vijiji wanapataje hiyo 4g ? ni sawa ugawe tairi za range rover kijijini useme unatatua tatizo ya usafiri, huku wote wanatumia baiskeli
Kwahivyo vijijini ni kwa mafukara na smartfones, mtandao wa 4G na vitu kama hivyo ni vya mijini kwa matajiri?
 
Huko kwa vijiji wanapataje hiyo 4g ? ni sawa ugawe tairi za range rover kijijini useme unatatua tatizo ya usafiri, huku wote wanatumia baiskeli
Niko vijijini na naipata vyema. Swali lingine?
 
Loon Ballons zitasaidiaje mapambano dhidi ya coronavirus?
 
Vijijini mbona mbona kuna umeme, hivi ule umeme wa REA kazi yake ni huko, sasa wale wanaokufa na mifugo sababu ya ukame hiyo 4G itawasaidia vipi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom