Taja kampuni moja kubwa kenya kwa private sector in Banking & Retail owned by Asians.
Stalk exchange ya Kenya inazungukia Utalii na company za wakenya kama KCB. The rest ni spectators nanii.
Middle class ya Kenya sahii imefika 48% of the population & growing fast kumaanisha uchumi unaendeshwa na wakenya. Tanzania mko wengi na middle class yenu kidogo iko Dar kwa Muarabu
Biashara zenu ni monopoly ya muhindi hata banks zenu ni za Waindi
. TZ ni maskini kuruka lakini iko na Billionaire mmoja Muhindi how?