Kwa hiyo;
Swissme;
TEJA ni shoga wa pili apa duniani ivyo tuelewe kuwa ili ndio tatzo linalowamaliza ndugu zangu wa HIPHOP,nasisitiza teja ni shoga wa pili!!
Anaitaji msaada, hajiwezi, anapendwa kutoka kwenye janga ila hakuna right person wa kumtoa
Mbona wanazunguka naye kwenye showz?Hivi weusi wanafikiria nn kumsaidia huyu ndugu yao!?? Au jamaa (lord) ndo hakutaka msaada?? Dah aisee jamaa alikuwa jembe sana.
hajapenda????unataka kusema alishurutishwa kutumia unga????Nimemuona huyu jamaa mitaa ya Sinza makaburini leo, it's been a looong time, kakonda, kadhoofika sana , hali mbaya sanaaa, unga umemchukua, hajiweZi , hali ni mbaya sana, na muda huo namuona anaelekea makaburini kuvuta vidude, najua hajapenda ila ni janga alilojitakia mwenyewe, hali mbaya
Asione aibu kumfuata RAY C amsaidie.
Anaitaji msaada, hajiwezi, anapendwa kutoka kwenye janga ila hakuna right person wa kumtoa