Lord Eyez

Lord Eyez

dopeboy

Senior Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
121
Reaction score
100
Nimemuona huyu jamaa mitaa ya Sinza makaburini leo, it's been a looong time, kakonda, kadhoofika sana , hali mbaya sanaaa, unga umemchukua, hajiwezi , hali ni mbaya sana, na muda huo namuona anaelekea makaburini kuvuta vidude, najua hajapenda ila ni janga alilojitakia mwenyewe, hali mbaya.
 
TEJA ni shoga wa pili apa duniani ivyo tuelewe kuwa ili ndio tatzo linalowamaliza ndugu zangu wa HIPHOP,kama tunakumbukumbu apo nyuma KAMANDA KALAPINA aliwasihi kupitia HIPHOP BILA MADAWA INAWEZEKANA lakin watu hawakumuelewa vzur kalapina,nasisitiza teja ni shoga wa pili!!
 
TEJA ni shoga wa pili apa duniani ivyo tuelewe kuwa ili ndio tatzo linalowamaliza ndugu zangu wa HIPHOP,nasisitiza teja ni shoga wa pili!!

Huu ni ukweli tosha na kampeni ya kupinga mada ya kulevya ilitakiwa iwe na ujumbe huo.
Haya maisha ya kuiga iga uzungu haya ndio kufikiri kuvuta ni kuonekana umeendelea.Basi endelea kuvuta
 
daaaa tunazidi kuwapoteza mafundi lord ana punchlines zinazokick ile mbaya....lakini ngada ndo zishamuibia ramani ya HIP2HOP katepeeetaaa.....!ina maana ndugu zake hawamuoni anavyoangamia?wanatakiwa kukumbuka usemi wa wahenga"UNDUGU NI KUFAANA NA SIO KUFANANA"
 
Hivi weusi wanafikiria nn kumsaidia huyu ndugu yao!?? Au jamaa (lord) ndo hakutaka msaada?? Dah aisee jamaa alikuwa jembe sana.
 
Hivi weusi wanafikiria nn kumsaidia huyu ndugu yao!?? Au jamaa (lord) ndo hakutaka msaada?? Dah aisee jamaa alikuwa jembe sana.
Mbona wanazunguka naye kwenye showz?
Kuacha poda ni maamuzi ya mtu mwenyewe
 
Duh! mteja namuoneaga huruma sana huwa hawana tofauti na maiti zinazotembea.
 
Nimemuona huyu jamaa mitaa ya Sinza makaburini leo, it's been a looong time, kakonda, kadhoofika sana , hali mbaya sanaaa, unga umemchukua, hajiweZi , hali ni mbaya sana, na muda huo namuona anaelekea makaburini kuvuta vidude, najua hajapenda ila ni janga alilojitakia mwenyewe, hali mbaya
hajapenda????unataka kusema alishurutishwa kutumia unga????
 
Ray c kiuno bila mfupa Ni wajibu wake kumsaidie,Si alimwimbia ,nataka kuwa nawe milele,nataka kuwa na watoto baby....sasa vipi tena amejisahau.
 
Mii najua thamani ya elimu ya mtu inapimwa kwa kuangalia namna msomi alivojitolea kwa manufaa ya jamii inayomzunguka, na kwa kuwa NICK II ni memba mwenye elimu kubwa ndani ya WEUSI, natoa rai hapa, awaongoze membaz wenzie ktk kumtoa lord eyez huko aliko!
 
Nikki msaidie Lord Eyez,mbona Ibra Da Hustler yupo Rehab? Chid Benz naye kabaki fuvu nimemuona kwenye video ya blue pesa yani blue ana mwili mkubwa kuliko Chid Benz,unga kweli ni nyo.ko,Chibu Dangote msaidie ndugu yenu chid.
 
wasanii hawapendani kwanin wenzake wa Gmf Kina joh makin wasifyt kumtoa huko?? madawa kuacha ni.ngumu inatakiwa nguvu ya ziada sasa wamemuacha mwenzao hawampelek.rehabs alafu wanapga show tu
 
Back
Top Bottom