Nimemuona huyu jamaa mitaa ya Sinza makaburini leo, it's been a looong time, kakonda, kadhoofika sana , hali mbaya sanaaa, unga umemchukua, hajiwezi , hali ni mbaya sana, na muda huo namuona anaelekea makaburini kuvuta vidude, najua hajapenda ila ni janga alilojitakia mwenyewe, hali mbaya.