Kwa sababu nakuwa naona kama hawajielewi vile.
Naona kwenda kanisani au msikitini ni Mambo ya kitoto kitoto.
Ndio maana siku hizi nimeamua kuwa introvert kwa sababu huwa nakuwa so much annoyed kukaa karibu na watu.
Unakuta jitu zima in his 50s linaongea kuhusu eti adhabu ya Kaburi na moto wa jehanamu.
Yani naona kama limekatwa kichwa vile.
Hivi kweli Mungu huyu huyu kabisa kabisa alie umba jua mwezi, sayari na galaxy zote, akuumbe wewe mwanadamu akulete duniani kukupa eti mitihani ili baadae ukifeli aende akakuchome milele?
Ndio mmemshusha Mungu kiasi hiki kweli?
Mungu anaweza kufanya mission ya kitoto namna hiyo?
God doesn't do stupid missions ndugu zangu stukeni...
Na hayo ndio madhara ya kumjua Mungu kupitia vitabu vilivyo tungwa na watu.
You can only know God through observation.
You can know the artist by studying his art.
Unaweza kumjua Mungu ni nani kwa kuusoma uumbaji wake.
N. B: ILA KABIASHARA KA DINI NI KA BIASHARA KAZURI NYIE. WALIO KAANZISHA WALIKUWA VERY SMART. YANI NAKUUZIA BIDHAA ( PEPO) ILA. UTAENDA KUTHIBITISHA UFANISI WA BIDHAA HIYO SIKU UTAKAYO KUFA DAH...
Kusema kitu hakipo, kwa, sababu tu hujakiona, sio, sahihi vile vile,
Mungu/super power,kilichotuweka hapa duniani, kipo, things don't just happen, they are created, huwezi, kusema I phone, Vogue, Prado, Airbus, mwendo kasi, zimetokea tu! There is master planer behind, kuhusu nini atatufanya tukifa, ur gues is as good as mine, no body can say for sure, it's matter to decide what to believe,
Mi naamini dini,(Sana Sana, huu ukristo wa kilokole) ni, sawa, na, madawa ya kulevya, hayakuonyi Ila yanatuliza, maumivu ya maumivu ya maisha na kukupa matumaini tu